TRA Yatumia Consultant Kusaidia Kuajiri na Sio Utumishi

TRA Yatumia Consultant Kusaidia Kuajiri na Sio Utumishi

Kulikuwa na Haja Gani TRA Kuajiri/Kutumia Consultant Kama Haiwezi Ku-Handle Zoezi La Ajira Yenyewe. Inamaana Huyo Consultant wao ni Mtenda Haki kwa Watanzania Maskini Kuliko Utumishi….!
Pitia Screenshot ya Taarifa yao..
Huyu ndiye mtanzania

Huwa hatosheki hata ufanyeje

Tra angetumia utumishi ungelalama why tunatumia utumishi while wanachelewesha mchakato
 
Mwaka 2012 niliajiriwa TRA wakati huo nimetoka tu kumaliza chuo 2011, tuliomba kazi hata vyeti na transcript bado tulitumia statement of results.

Kipindi kile walikuwa wanatumia huo mfumo wa Consultants na sisi waliotufanyia usahili ni mzumbe university. Kwa kusema ukweli interview zote zilikuwa fair sana na wenye uwezo tulipata kazi hata kama wapo waliopitishwa kwa vimemo maana mimi na jamaa zangu wengi tuliajiriwa mwaka ule...walichuja GPA nadhani walianzia 3.8

Kwahiyo huo sio mfumo mpya ulikuja kubadilishwa na Hayati Magufuli alipoihamishia TRA utumishi na kuna mambo mengi yalibadilika ila sasa hivi yanarejea kama mwanzo
IMG-20250321-WA0004.jpg

Kuna mtu kapost hii ni ya kweli hii mishahara mkuu?
 
Uhuni umezidi, PSRS ilibidi wasimamie huu mchakato maana kwa 99% wanatenda haki
Mimi siwaamini tra, wala consultant,
Psrs utumishi ndio wanaaminika tuliona kipindi cha mwanzoni vijana wasio na connection wakipata kazi tra kupitia utumishi,
Lakini kwa sasa tarajia interns wa tra na wenye connection
 
Wakuu nilisikia mtihani unakuja kama aptitude test hivi ni kweli au imekaaje hapo?
Na vp hawa consultant waliopewa kazi mfumo wao wa maswali umekaaje wataalam?
Nafikiri kwa sasa tungejikita kwenye kuona mtiani utakujaje wakuu
 
Ngoja tuone usaili huu labda wamebadilika, japokua ule usaili wa mwisho wa TRA ulikua na malalamiko makubwa sana
 
Ngoja tuone usaili huu labda wamebadilika, japokua ule usaili wa mwisho wa TRA ulikua na malalamiko makubwa sana
Yeah malalamiko yalikuwa mengi sana, mtu unaambiwa kuwa umepata kazi kwenye email badala ya kutoa PDF kama utumishi.
 
Yeah malalamiko yalikuwa mengi sana, mtu unaambiwa kuwa umepata kazi kwenye email badala ya kutoa PDF kama utumishi.
Nahisi kwa kipindi hiki angalau watatenda haki sababu ya uchaguzi mkuu ujao ili watu wasiasa wajisafishie njia kirahisi
 
Nahisi kwa kipindi hiki angalau watatenda haki sababu ya uchaguzi mkuu ujao ili watu wasiasa wajisafishie njia kirahisi
Pengine labda,
Kuna bodi ya michezo ya kubahatisha nayo wameajiri wenyewe inaonekana nao wamejitoa kwenye ajiraportal (psrs), wanaturudisha nyuma
 
Usaili wa watu 100,000 ni bora watumie consultants, Muhimu hyo consultants inatoka humu humu.

Na hizi ndo Fursa zenyewe watanzania, Unaweza Fungua consultant firm kama hizi
 
Wakuu nilisikia mtihani unakuja kama aptitude test hivi ni kweli au imekaaje hapo?
Na vp hawa consultant waliopewa kazi mfumo wao wa maswali umekaaje wataalam?
Nafikiri kwa sasa tungejikita kwenye kuona mtiani utakujaje wakuu
Ndio mimi nimeshawah kufanya, ni multiple choice, true and false na matching item, ila maswali ni ya kada yako uliyosomea
 
Back
Top Bottom