TRA Yatumia Consultant Kusaidia Kuajiri na Sio Utumishi

TRA Yatumia Consultant Kusaidia Kuajiri na Sio Utumishi

Hapa ni mwendo wa VETA TU
KAZI ni kipimo cha utu
 
Ndio mimi nimeshawah kufanya, ni multiple choice, true and false na matching item, ila maswali ni ya kada yako uliyosomea
Asahnte mkuu kwa kunitoa tongotongo mana ukishapata muelekeo inakuwa laisi kujipanga
 
Kulikuwa na Haja Gani TRA Kuajiri/Kutumia Consultant Kama Haiwezi Ku-Handle Zoezi La Ajira Yenyewe. Inamaana Huyo Consultant wao ni Mtenda Haki kwa Watanzania Maskini Kuliko Utumishi….!
Pitia Screenshot ya Taarifa yao..
Kampuni za watu hizo, watu wanataka wapige pesa mapema, awamu hii kama ya kikwete tu,
Taasisi za umma, wakitaka kununua mfano karatasi za printer, pen, nk, njia rahisi nenda kariakoo, chukua proforma ya kampuni kadhaa, lipia mzigo kwa jumps, sasa unskuta pen ya shillngi 200,inauzwa buku!
 
Wanajua PSRS ni wahuni tu. Bora waweke huyo mtu/watu wao
 
Kwanini jina namba 759 & 760 yanafanana? Au ni mapacha waliofanana?
 
TRA ni wahuni tu wameona Kuwa Watoto wao Kipindi cha Magufuli hawakupata nafasi ivo wameona Wa Pull Out utumishi ili wapate Gap ya Kuingiza watu wao, Utumishi walikuwa very transparency na watu walikuw Hired based on their merits

Taasisi nyingi zina Pull Out utumishi ili mambo ya Undugu yashike hatamu tena

Rest in Peace Magufuli Mana wewe uliweza sana Kuisimamia Utumishi iajiri kwa Fair kabisa

Ni Kupitia Utawala wako Magufuli Vijana wa wakulima walipata Nafasi BOT, Hazina, State House na sehemu nyeti bila Kuwa na Mjomba wala bamdogo maeneo

Tutakukumbuka sana JPM mungu akupe pumziko salama uko Ulipo.
 
Credibility ya consultant huifaham , tayari unaanza kulaumu? How about ufuatilie record zao kwanza, then from there tujue wana record nzuri au chaf

Credibility ya consultant huifaham , tayari unaanza kulaumu? How about ufuatilie record zao kwanza, then from there tujue wana record nzuri au chafu
Credibility ya Consultant haiwezi Kufanya Maamuzi mazuri na Fair mana Hio tender haja Secure kirahisi, Kwanza Mchakato wa Upatikanaji wa Huyu Consultant ulikuwa Competitive?
Au ndio kawa Picked tu?
Huyo lazima aserve interest za walio mpa tender

Hio interview ni Biashara na Kwakuwa Vyombo vingi kwa sasa Vimelala wataingia Mpaka wageni kwenye hizo kazi
 
Back
Top Bottom