Huyu ndiye mtanzaniaKulikuwa na Haja Gani TRA Kuajiri/Kutumia Consultant Kama Haiwezi Ku-Handle Zoezi La Ajira Yenyewe. Inamaana Huyo Consultant wao ni Mtenda Haki kwa Watanzania Maskini Kuliko Utumishi….!
Pitia Screenshot ya Taarifa yao..
Tatizo vijana mkienda LGA mnakua wavivu sanaKm GPA wanazingatia.. Ee Mungu tenda muujiza nitoke huku local gvt nilipo mana hakuna anayethamin first class
Boss naona hauna experience na halmashauri. Huku hawahitajiki watu wanahoji.Tatizo vijana mkienda LGA mnakua wavivu sana
Mwaka 2012 niliajiriwa TRA wakati huo nimetoka tu kumaliza chuo 2011, tuliomba kazi hata vyeti na transcript bado tulitumia statement of results.
Kipindi kile walikuwa wanatumia huo mfumo wa Consultants na sisi waliotufanyia usahili ni mzumbe university. Kwa kusema ukweli interview zote zilikuwa fair sana na wenye uwezo tulipata kazi hata kama wapo waliopitishwa kwa vimemo maana mimi na jamaa zangu wengi tuliajiriwa mwaka ule...walichuja GPA nadhani walianzia 3.8
Kwahiyo huo sio mfumo mpya ulikuja kubadilishwa na Hayati Magufuli alipoihamishia TRA utumishi na kuna mambo mengi yalibadilika ila sasa hivi yanarejea kama mwanzo
Mishahara sio haba.View attachment 3279946
Kuna mtu kapost hii ni ya kweli hii mishahara mkuu?
Pole sanaBoss naona hauna experience na halmashauri. Huku hawahitajiki watu wanahoji.
Huu ni Uongo, kwanza TRA haina MKURUGENZI MKUUView attachment 3279946
Kuna mtu kapost hii ni ya kweli hii mishahara mkuu?
Mimi siwaamini tra, wala consultant,Uhuni umezidi, PSRS ilibidi wasimamie huu mchakato maana kwa 99% wanatenda haki
Hiyo ni ya zamani siku hizi hazitumiki hizoView attachment 3279946
Kuna mtu kapost hii ni ya kweli hii mishahara mkuu?
Tax Risk managementHiyo ni ya zamani siku hizi hazitumiki hizo
Ngoja tuone usaili huu labda wamebadilika, japokua ule usaili wa mwisho wa TRA ulikua na malalamiko makubwa sanaMimi siwaamini tra, wala consultant,
Psrs utumishi ndio wanaaminika tuliona kipindi cha mwanzoni vijana wasio na connection wakipata kazi tra kupitia utumishi,
Lakini kwa sasa tarajia interns wa tra na wenye connection
Yeah malalamiko yalikuwa mengi sana, mtu unaambiwa kuwa umepata kazi kwenye email badala ya kutoa PDF kama utumishi.Ngoja tuone usaili huu labda wamebadilika, japokua ule usaili wa mwisho wa TRA ulikua na malalamiko makubwa sana
Nahisi kwa kipindi hiki angalau watatenda haki sababu ya uchaguzi mkuu ujao ili watu wasiasa wajisafishie njia kirahisiYeah malalamiko yalikuwa mengi sana, mtu unaambiwa kuwa umepata kazi kwenye email badala ya kutoa PDF kama utumishi.
Pengine labda,Nahisi kwa kipindi hiki angalau watatenda haki sababu ya uchaguzi mkuu ujao ili watu wasiasa wajisafishie njia kirahisi
sikuhizi psrs wanatoa vibali kwa taasisi kuajiri wenyewePengine labda,
Kuna bodi ya michezo ya kubahatisha nayo wameajiri wenyewe inaonekana nao wamejitoa kwenye ajiraportal (psrs), wanaturudisha nyuma
Ndio mimi nimeshawah kufanya, ni multiple choice, true and false na matching item, ila maswali ni ya kada yako uliyosomeaWakuu nilisikia mtihani unakuja kama aptitude test hivi ni kweli au imekaaje hapo?
Na vp hawa consultant waliopewa kazi mfumo wao wa maswali umekaaje wataalam?
Nafikiri kwa sasa tungejikita kwenye kuona mtiani utakujaje wakuu