Wewe ndo unayemaliza tembo wetu shubaamit[emoji2955]Mkuu naomba ukipata na rekodi kuhusu biashara zilizofungwa till December 2020 unitag
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Mkuu upo serious, unajua kwa sasa kuna pressure kwa serikali kuhusu vijana waliohitimu vyuo kukosa ajira. Na serikali inalaumiwa kwenye hili kwa kushindwa kutoa ajira za kutosha? au mwenzetu unaishi nchi gani..bil 600 ni pesa nyingi mno katika kulipa mishahara hapa ni lazima ubuniwe utaratibu wa namna wa kulipunguza hili wataalamu wabobezi wakisaidiwa na wa nje wakae chini waone ni jinsi gani tutatumia ELECTRONIC DIVICES kukusanya zaidi na kupunguza watumishi ambao shughuli zao zinaweza kufanywa na vifaa vya kikompyuta automatically
Fresh niajeeeee!!!???Saaaaagudaaaa ssa sasagudaaaaa inakuwaje mtu wangu
Haki ni kulipwa mshahara swala la nyongeza ya mshahara ni jingine kabisa haiwezekani pato la Taifa litumike kwa watu wa kada moja pekee haiwezekani,Sasa kama hujaenda shule, hilo linamhusu nini mtu anayedai haki yake?
Wafanyakazi wao hawana pa kukwepea kodi afadhali wewe hadi unafukuzana na TRA.
Average minds ndio wanaolilia kuajiriwa kwakua hawana uwezo wa kutumia elimu waliyoipata darasani kujiajiri.Mkuu upo serious, unajua kwa sasa kuna pressure kwa serikali kuhusu vijana waliohitimu vyuo kukosa ajira. Na serikali inalaumiwa kwenye hili kwa kushindwa kutoa ajira za kutosha? au mwenzetu unaishi nchi gani..
Wataalam wa nje🙇bil 600 ni pesa nyingi mno katika kulipa mishahara hapa ni lazima ubuniwe utaratibu wa namna wa kulipunguza hili wataalamu wabobezi wakisaidiwa na wa nje wakae chini waone ni jinsi gani tutatumia ELECTRONIC DIVICES kukusanya zaidi na kupunguza watumishi ambao shughuli zao zinaweza kufanywa na vifaa vya kikompyuta automatically
Safi mkuu, enjoy your day dude!Dah umenijibu lao? Fresh mkuu
Heri ya mwaka mpya
Hahahaha!Average minds ndio wanaolilia kuajiriwa kwakua hawana uwezo wa kutumia elimu waliyoipata darasani kujiajiri.
Hapendwi Mtu, Inapendwa Pesa
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Shida moja watanzania hatupendi kusoma na hii ndio sababu serikali inatudanganya kila siku.
Mkuu kada nyingi za serikali watumishi huwa wanatoa huduma na hata kama kuna tozo ni ya kiwango cha chini kabisa. Uzembe unaweza kuwepo kwa baadhi ya watumishi, lakini serikali pia huwa inaweza kuchangia kwa kutopeleka pesa kwenye idara zake kama ilivyopangwa kwenye bajeti hivyo kukwamisha baadhi ya shughuli. Mfano, kipindi cha mgomo wa madaktari upungufu wa vifaa tiba ambavyo vinawawezesha kufanya kazi zao kwa ufanisi ilikuwa moja ya madai yao, na hilo ni jukumu la serikali kutoa pesa za kutosha.Haki ni kulipwa mshahara swala la nyongeza ya mshahara ni jingine kabisa haiwezekani pato la Taifa litumike kwa watu wa kada moja pekee haiwezekani,
Mtu unapodai nyongeza ya mshahara iendane na output yako, umechangia nini kwenye upatikanaji wa hicho kipato.
Kuna wafanyakazi wengine binafsi naona hawana umuhimu wo wote ule kwenye upatikanaji wa pato la Taifa,
Sio wabunifu, hawana ethics, huduma zao mbovu mno,
Mtu anatumia siku yake kupiga soga, kunywa chai na kudai rushwa tu,
Mnatia aibu Sana,
Badilikeni au sio hata hicho mlichonacho mtakikosa kabisa.
Vijana kushindwa kujiajiri kuna sababu zake, hususani kutokuwa na mitaji na kutokuwa na elimu au mawazo ya kijasiriamali ambalo huweza pia kuchangiwa na mfumo wa elimu na mfumo wa kijamii uliopo.Average minds ndio wanaolilia kuajiriwa kwakua hawana uwezo wa kutumia elimu waliyoipata darasani kujiajiri.
Ipo haja ya serikali ama kupunguza mishahara ama kupunguza wafanyakazi pesa zinazotumika kulipia mishahara tu ni nyingi Sana.
🤣🤣🤣 Sio mazuri japo nacheka, hatimaye jero tunaiita mia tano. CCM mbele kwa mbeleHujakosea ndugu yangu, na iwe milele kabisa. Au nasema uongo ndugu zangu?