TRA yawataka wafanyabiashara kusajili stoo za kuhifadhia bidhaa

TRA yawataka wafanyabiashara kusajili stoo za kuhifadhia bidhaa

Hili sio la kuulizia. Waliposema wapangwe hawakuelewa. Subiri soko la Kariakoo lifunguliwe itapitishwa kanuni hata muuza miwa na mchoma mahindi hawataamini.
Hii itasaidia maana kwa sasa wanaoumizwa ni wachache huku wengine wakipata mserereko
 
Pumbavu Sana hawa kwa nn ujinga wote huu usiishie bandarini huku wakaachwa watu wafanye biashara Yan mfanya biashara Tanzania ni muhanga mkubwa sana wa kitu hii TRA
Naona hii ingekuwa njia nzuri
 
Tatizo sio Kodi wala Ukusanyaji (sababu sheria kama hizo zipo tangia enzi za mkoloni) Tatizo ni Kodi kubwa kuliko uhalisia kwa mlipaji; Kutokuwa na level playing field (wachache wanaolipa wanakandamizwa sana na wengine wasiolipa wote wanapeleka mizigo uraiani) kwahio mlipaji ata-compete vipi...

Mwisho kabisa hakuna value for money kwa mlipaji (Kodi badala ya kujenga nchi inajenga matumbo ya watu)
 
Mission ni moja tu, kila maskini azidi kuwa maskini na tajiri azidi kutajirika.
 
Viongozi wamefanya ufisadi wa kutisha hawachukuliwi hatua!
Imefika mahali serikali imefilisika, sasa inatafuta pa kupatia hela za kulipana mishahara ndio maana unaona wanataka tugawane nao kile tulichoweka stoo 😁😁

Watanzania tutanyonywa hadi mavi kipindi hiki kudadeki
 
Back
Top Bottom