PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Hii mikwala inapigwa kwenu nyie mlioajiriwa..Machinga very soon mnafikwa na kitu kizito, kila mmoja awe na efd
Hii itasaidia maana kwa sasa wanaoumizwa ni wachache huku wengine wakipata msererekoHili sio la kuulizia. Waliposema wapangwe hawakuelewa. Subiri soko la Kariakoo lifunguliwe itapitishwa kanuni hata muuza miwa na mchoma mahindi hawataamini.
Kuna watu wanauzia stoo ie wachina wa viatuNaona kuna watu watakimbia bidhaa zao soon
Wanajua mizigo inahifadhiwa sehemu nyingine
Hivi bidhaa zimeingia nchini zimelipiwa kodi sasa mimi nimeweka kwenye store inawahusu nini?
Kama kawaida yao
Kama hana stoo tangazo halimhusuMtu hana stoo inakuaje sasa
Hapo Ndiyo Serikali Imefungua Turbo, Haa Wamewabana Tena TenaMdogo mdogo tutafika tu,
UsikaririHii mikwala inapigwa kwenu nyie mlioajiriwa..
Biashara tutafanya Tu kama kawaida na hata hizo store ambazo tunahifadhia mizigo inategemea na Aina ya biashara hasa Kwa kariakoo
Pumbavu Sana hawa kwa nn ujinga wote huu usiishie bandarini huku wakaachwa watu wafanye biashara Yan mfanya biashara Tanzania ni muhanga mkubwa sana wa kitu hii TRAMwaka huu kazi kazi. Tukiwa kwenye majonzi ya kodi ya nyumba hasa kwa wale wanaoishi kwenye maghorofa, TRA inawataka wafanyabiashara kusajili store zenu.
View attachment 2612095
View attachment 2612096
Maana nahisi kuna wabongo wenye stoo watasema hawanaKama hana stoo tangazo halimhusu
Unadhani ile sensa ya juzi ilikuwa ya hovyo?Maana nahisi kuna wabongo wenye stoo watasema hawana
Naona hii ingekuwa njia nzuriPumbavu Sana hawa kwa nn ujinga wote huu usiishie bandarini huku wakaachwa watu wafanye biashara Yan mfanya biashara Tanzania ni muhanga mkubwa sana wa kitu hii TRA
Ila haya yote ni kwakuwa kodi haijawa rafiki bado kwa mfanyabiasharaUnadhani ile sensa ya juzi ilikuwa ya hovyo?
Hujaona watu wameanza lia kwenye umeme kuwa wanakatwa 60000 kwa mwaka badala ya 12000?
Ila kwenye majengo bado twaiibia serikali,nyumba zatakiwa lipiwa kwa thamani yake 1% ya thamani ya nyumba husikaIla haya yote ni kwakuwa kodi haijawa rafiki bado kwa mfanyabiashara
Fa utani nini [emoji20]Itabidi kuhifadhia mizigo majumbani [emoji87][emoji56]
Na bado kila unachokiuza bado unakilipia kodi vile vile.Naona kuna watu watakimbia bidhaa zao soon
Wanajua mizigo inahifadhiwa sehemu nyingine
Hivi bidhaa zimeingia nchini zimelipiwa kodi sasa mimi nimeweka kwenye store inawahusu nini?
Kama kawaida yao
Utaratibu unatakiwa ubadilishwe kiwanja nimenunua nyumba nimeijenga mwenyewe kodi ya nn sasaIla kwenye majengo bado twaiibia serikali,nyumba zatakiwa lipiwa kwa thamani yake 1% ya thamani ya nyumba husika
Mission ni moja tu, kila maskini azidi kuwa maskini na tajiri azidi kutajirika.Tatizo sio Kodi wala Ukusanyaji (sababu sheria kama hizo zipo tangia enzi za mkoloni) Tatizo ni Kodi kubwa kuliko uhalisia kwa mlipaji; Kutokuwa na level playing field (wachache wanaolipa wanakandamizwa sana na wengine wasiolipa wote wanapeleka mizigo uraiani) kwahio mlipaji ata-compete vipi...
Mwisho kabisa hakuna value for money kwa mlipaji (Kodi badala ya kujenga nchi inajenga matumbo ya watu)
Kivipi? Kuna maskini mwenye storage ya bidhaa?Mission ni moja tu, kila maskini azidi kuwa maskini na tajiri azidi kutajirika.