TRA yawataka wafanyabiashara kusajili stoo za kuhifadhia bidhaa

Mfanyabiashara asipolipa kodi faini kubwa kubwa lkn wafanyakazi wa serikali wanafanya ufisadi hakuna hatua yoyote inachukuliwa
Upo sahihi kabisa CAG katoa report ya uwizi wa mabillion hakuna kiongozi aliechukuliwa hatua, wanabanwa wafanyabiashara hela anaenda kufaidi mtu mmoja
 
Kuna baadhi ya watu wanajifanya machinga wanatoa mzigo store wanasambaza Kwa vijana shida ndipo ilipoanzia hapo
Hili swala Siasa ndo imeingilia kati.

TRA wanajikuta wako kati na hawajui nini wafanye.

Wasipokamata mizigo na kudai risiti hakika mapato yatashuka.

Dawa ni kila aliye kariakoo apewe EFD haijalishi nani uwe machinga au usiwe.

Wakifanya hivyo TRA wao wakae watulie waanze kamata mizigo ambayo haina risiti na kuitaifisha.

Watu watatoa risiti na kuomba.

Hizo stoo wanazopigia kelele kusajiliwa huko ndo madudu hufanyika.
KKOO mtu ana duka dogo ila mizigo inapitishwa Stoo
 
Ndio maana nchi hii mtu akiwa ana pesa anaonekana mchawi 😃
 
Naona kuna watu watakimbia bidhaa zao soon

Wanajua mizigo inahifadhiwa sehemu nyingine
Hivi bidhaa zimeingia nchini zimelipiwa kodi sasa mimi nimeweka kwenye store inawahusu nini?

Kama kawaida yao
Urahisi wa uhakiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…