ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #181
Ongezeko la mara 2 chini ya miaka 5 sio sawa na ongezeko la chini ya mara 2.kwa miaka 5.5.Tumerudi pale pale number za mapato hazishuki zinaongezeka. Unasema Sasa hivi kwa mwezi ni mara mbili ya 1.5T? Kwa mwezi sasa hivi ni 3trillion ambayo kwa mwaka ni 36trillion?? Mmmh hii ni kweli? Kwa sasa mapato yetu ni trillion 36?? Mmmh
Kamanda huenda hujamuelewa. Twende taratibu utaelewa, Ulisema 2015 banks zilirekodi faida ndogo kuwahi kutokea. Mm nikaja kukueletea taarifa za faida kwa miaka 10 kutoka 2014-2024, kwa kipindi chote hicho faida zilikua zinaongezeka hazikuwahi kupunguaBenki zote kubwa 20 zolovuna over 1.5T huku zingine zikiwa na ukuaji wa over 36%. Case study 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C2-Q7Z4Mcjl/?igsh=Z3puZ2RjYmxzcW5w
Unadhani huu ni ukuaji na faida ni wa hivi hivi tuu? 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C2za3fJNnfA/?igsh=dGEzcHQxenY2MHdz
We huna akili,Malengo wanajiwekea madogo,Kwanini hawatangazi kabla ya Mwaka kuanza?Hawajawahi jiwekea malengo madogo na ndio maana hakuna mwaka wamewahi vunja rekodi isipokuwa mwaka huu.
Niliweka financial statements za banks kwa miaka 10 kutoka 2014-2024. Umeona hakukua na hasaraBaltazar Engongo Kwa Sasa huwezi sikia kelele za mabenki kufirisika au kula hasara.
Ushahidi nimetoa wa kutosha kama hutaki bakia na unavyoona inafaa 👇👇
View: https://x.com/Mwanahalisitz/status/1500062062826905603?t=XE_8h0fGRsKR1xqsYe8PIg&s=19
Nimekukatalia Toka kwanzo kwamba Kilimo ni benki ambazo Hazina miliki wa Serikali na umeona BoT ilivyozifunga kibao na umesoma maelezo ya Waziri wa Fedha ila Bado hutaki unalazimisha CRDB,NMB na NBC benki za Serikali wakati hizo Zina upendeleo sokoni.Niliweka financial statements za banks kwa miaka 10 kutoka 2014-2024. Umeona hakukua na hasara
Kwa nini usiweka financial statements za miaka 10 ili tuone hizo hasara kwa hiyo miaka?
Malengi yanawekwa na Wizara ya Fedha na sio TRA.We huna akili,Malengo wanajiwekea madogo,Kwanini hawatangazi kabla ya Mwaka kuanza?
Kiongozi tuachane na haya maneno. Naomba financial statement ya exim bank kwa miaka 10Nimekukatalia Toka kwanzo kwamba Kilimo ni benki ambazo Hazina miliki wa Serikali na umeona BoT ilivyozifunga kibao na umesoma maelezo ya Waziri wa Fedha ila Bado hutaki unalazimisha CRDB,NMB na NBC benki za Serikali wakati hizo Zina upendeleo sokoni.
Ingia itafute,nikuwekee Mimi tena?Kiongozi tuachane na haya maneno. Naomba financial statement ya exim bank kwa miaka 10
Au ya stanbic bank kwa miaka 10 tusome trend ipoje. Nadhani tumalizie hapa huu ubishi
Kiongozi nazidi kusoma vizur na kitaka kuelewa? Unasema TRA haijawahi kuvuka lengo? Kwani malengo ya TRA ni kukusanya kiasi gani kwa mwezi? Au kukusanya kiasi gani kwa mwaka?Malengi yanawekwa na Wizara ya Fedha na sio TRA.
Mumejaza ujinga kichwani.Mwisho unawezaje kuthibitisha kwamba wanajiwekea malengi kidogo?
Toka umeanza kusikia TRA ,ni lini waliwahi vuka malengo Kwa kupata zaidi ya asilimia 100% kwenye malengo Yao?
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imeandikisha rekodi Mpya ya Mapato ya nusu mwaka Kwa kukusanya zaidi ya Trilioni 16.5 kwa.kioindi Cha miezi 6 au nusu mwaka ya mwaka wa Fedha 2024/2025.
Kiwango hicho ni Cha Juu zaidi kuwahi kufikiwa na TRA huku ikiwa ni ufanisi wa asilimia 103% yaani imevuka malengo.
Pia soma TRA yaweka rekodi ya kukusanya Trilioni 27.6 kwa mwaka 2023/2024
Aidha mwezi Disemba pekee imekusanya takribani Shilingi Trilioni 3.5 ikiwa ni Juu ya lengo la Trilioni 3.
View: https://www.instagram.com/p/DESCEmIoQWy/?igsh=MTR3Z3ptYmowNmd3bQ==
View: https://www.instagram.com/p/DESwGv9IPEx/?igsh=b2kzZ2twN3o0czQ1
My Take
Hongera sana Kwa TRA na walipakodi wote nimiwemo mimi.
Hongera sana Rais Samia, hongera Kwa Waziri Mwigulu Kwa kukusanya Kodi bila dhuluma na kuvuka malengo , haijawahi tokea tangu TRA kuanzishwa.
Tunatoka wito wa matumizi sahihi ya Kodi zetu na pia juhudi zaidi za kukusanya Mapato,Bado ukwepaji Kodi ni mkubwa na watu hawatoi Wala kudai risiti inavyostahili.
View: https://www.instagram.com/reel/DESXvVVo1Z7/?igsh=MTB0OG5raXl2YjBqcw==
Malengo Yao ni kiasi kile walichopangiwa.Kiongozi nazidi kusoma vizur na kitaka kuelewa? Unasema TRA haijawahi kuvuka lengo? Kwani malengo ya TRA ni kukusanya kiasi gani kwa mwezi? Au kukusanya kiasi gani kwa mwaka?
Matako yako mtoto senge wewe.Malengi yanawekwa na Wizara ya Fedha na sio TRA.
Mumejaza ujinga kichwani.Mwisho unawezaje kuthibitisha kwamba wanajiwekea malengi kidogo?
Toka umeanza kusikia TRA ,ni lini waliwahi vuka malengo Kwa kupata zaidi ya asilimia 100% kwenye malengo Yao?
Ndio inavyotakiwa. Vinginevyo tutakua tunabishana vitu bila sababu. Financial statements sio Siri huwa hadharani. Ungeweka kama nilivyoweka ingependeza. Lakini mbona mengine unaenda kutafuta na kuleta kwa nini sio hili?Ingia itafute,nikuwekee Mimi tena?
Ukiona watu hawalipi Kodi wariooti TRA.Rekodi ya wapi? Hamna lolote! Nchi hii ni watu wachache ndio wanalipa kodi. Yapo maeneo mengi sana hawakusanyi kodi na kuna watu wanaumizwa kwa kodi.
Siwezi kukuhangaikia,wewe unaebisha ndio weka data zakoNdio inavyotakiwa. Vinginevyo tutakua tunabishana vitu bila sababu. Financial statements sio Siri huwa hadharani. Ungeweka kama nilivyoweka ingependeza. Lakini mbona mengine unaenda kutafuta na kuleta kwa nini sio hili?
Sijui kila kitu, ndio nauliza malengo waliyopangiwa ni kiasi gani? Hapa ndio nahitaji kujua kutoka kwako ili nami nijue. TRA wamepangiwa kiasi gani kwa mwezi?Malengo Yao ni kiasi kile walichopangiwa.
Ni lini TRA ilifikia 100% au kuvuka malengo hayo hayo waliwekewa?
🤣🤣 Umepanic ,Sasa unaonesha jinsi ulivyo wa hovyo 😆😆Matako yako mtoto senge wewe.
Yan hujawahi sikia TRA amevuka lengo Ndio leo?
Hivi vitoto vya elfu 2000 Tabu sana kuishi navyo. Hujui alafu mmbishi.