TRA Yaweka rekodi Mpya Kwa Kukusanya Trilioni 16.5 kwa miezi 6. Yavuka Malengo kwa asilimia 103%.

TRA Yaweka rekodi Mpya Kwa Kukusanya Trilioni 16.5 kwa miezi 6. Yavuka Malengo kwa asilimia 103%.

Tumerudi pale pale number za mapato hazishuki zinaongezeka. Unasema Sasa hivi kwa mwezi ni mara mbili ya 1.5T? Kwa mwezi sasa hivi ni 3trillion ambayo kwa mwaka ni 36trillion?? Mmmh hii ni kweli? Kwa sasa mapato yetu ni trillion 36?? Mmmh
Ongezeko la mara 2 chini ya miaka 5 sio sawa na ongezeko la chini ya mara 2.kwa miaka 5.5.

Pia Mwaka wa Fedha 2025/26 ndio projection hiyo na tayari Iko kwenye Budget proposal ambayo itaanza kusomwa mwezi wa 4.

Mzee namba Huwa hazidanganyi na google ni mtunza kumbukumbu mzuri

View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1024660238794940417?t=yziX8XU1bs3rwvXYxnzmNw&s=19
 
Benki zote kubwa 20 zolovuna over 1.5T huku zingine zikiwa na ukuaji wa over 36%. Case study 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C2-Q7Z4Mcjl/?igsh=Z3puZ2RjYmxzcW5w

Unadhani huu ni ukuaji na faida ni wa hivi hivi tuu? 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C2za3fJNnfA/?igsh=dGEzcHQxenY2MHdz

Kamanda huenda hujamuelewa. Twende taratibu utaelewa, Ulisema 2015 banks zilirekodi faida ndogo kuwahi kutokea. Mm nikaja kukueletea taarifa za faida kwa miaka 10 kutoka 2014-2024, kwa kipindi chote hicho faida zilikua zinaongezeka hazikuwahi kupungua

Ukaja kusema tuachane na crdb na nmb, nikakuomba uje na taarifa Kama niliyokuja nayo ya miaka 10 ili tuone faida zilikua zinapungua au kuongezeka. Naamini hizo taarifa unaazo, ndio nazoomba kuziona.

Unaleta taarifa za sasa hivi banks kupata faida ikiwa sijabisha na najua zinapata faida, weka 10years permformabce lengo tujue hizi faida za banks zipoje kila mwaka
 
Huwa nashindwa kuelewa hawa watu na mahesabu yao
Naomba mfafanue hili
Kila siku kuna makampuni yanaongezeka na uchumi unapanda
Bandari bidhaa zimeongezeka lakini bado tunaambiwa wamevunja rekodi
Kama biashara ni zile zile na ulipaji ni ule ule wa miaka 5 iliyopita hapo sawa.
 
Niliweka financial statements za banks kwa miaka 10 kutoka 2014-2024. Umeona hakukua na hasara

Kwa nini usiweka financial statements za miaka 10 ili tuone hizo hasara kwa hiyo miaka?
Nimekukatalia Toka kwanzo kwamba Kilimo ni benki ambazo Hazina miliki wa Serikali na umeona BoT ilivyozifunga kibao na umesoma maelezo ya Waziri wa Fedha ila Bado hutaki unalazimisha CRDB,NMB na NBC benki za Serikali wakati hizo Zina upendeleo sokoni.
 
We huna akili,Malengo wanajiwekea madogo,Kwanini hawatangazi kabla ya Mwaka kuanza?
Malengi yanawekwa na Wizara ya Fedha na sio TRA.

Mumejaza ujinga kichwani.Mwisho unawezaje kuthibitisha kwamba wanajiwekea malengi kidogo?

Toka umeanza kusikia TRA ,ni lini waliwahi vuka malengo Kwa kupata zaidi ya asilimia 100% kwenye malengo Yao?
 
Nimekukatalia Toka kwanzo kwamba Kilimo ni benki ambazo Hazina miliki wa Serikali na umeona BoT ilivyozifunga kibao na umesoma maelezo ya Waziri wa Fedha ila Bado hutaki unalazimisha CRDB,NMB na NBC benki za Serikali wakati hizo Zina upendeleo sokoni.
Kiongozi tuachane na haya maneno. Naomba financial statement ya exim bank kwa miaka 10

Au ya stanbic bank kwa miaka 10 tusome trend ipoje. Nadhani tumalizie hapa huu ubishi
 
Malengi yanawekwa na Wizara ya Fedha na sio TRA.

Mumejaza ujinga kichwani.Mwisho unawezaje kuthibitisha kwamba wanajiwekea malengi kidogo?

Toka umeanza kusikia TRA ,ni lini waliwahi vuka malengo Kwa kupata zaidi ya asilimia 100% kwenye malengo Yao?
Kiongozi nazidi kusoma vizur na kitaka kuelewa? Unasema TRA haijawahi kuvuka lengo? Kwani malengo ya TRA ni kukusanya kiasi gani kwa mwezi? Au kukusanya kiasi gani kwa mwaka?
 
Rekodi ya wapi? Hamna lolote! Nchi hii ni watu wachache ndio wanalipa kodi. Yapo maeneo mengi sana hawakusanyi kodi na kuna watu wanaumizwa kwa kodi.
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imeandikisha rekodi Mpya ya Mapato ya nusu mwaka Kwa kukusanya zaidi ya Trilioni 16.5 kwa.kioindi Cha miezi 6 au nusu mwaka ya mwaka wa Fedha 2024/2025.

Kiwango hicho ni Cha Juu zaidi kuwahi kufikiwa na TRA huku ikiwa ni ufanisi wa asilimia 103% yaani imevuka malengo.

Pia soma TRA yaweka rekodi ya kukusanya Trilioni 27.6 kwa mwaka 2023/2024

Aidha mwezi Disemba pekee imekusanya takribani Shilingi Trilioni 3.5 ikiwa ni Juu ya lengo la Trilioni 3.

View: https://www.instagram.com/p/DESCEmIoQWy/?igsh=MTR3Z3ptYmowNmd3bQ==

View: https://www.instagram.com/p/DESwGv9IPEx/?igsh=b2kzZ2twN3o0czQ1

My Take
Hongera sana Kwa TRA na walipakodi wote nimiwemo mimi.

Hongera sana Rais Samia, hongera Kwa Waziri Mwigulu Kwa kukusanya Kodi bila dhuluma na kuvuka malengo , haijawahi tokea tangu TRA kuanzishwa.

Tunatoka wito wa matumizi sahihi ya Kodi zetu na pia juhudi zaidi za kukusanya Mapato,Bado ukwepaji Kodi ni mkubwa na watu hawatoi Wala kudai risiti inavyostahili.

View: https://www.instagram.com/reel/DESXvVVo1Z7/?igsh=MTB0OG5raXl2YjBqcw==
 
Kiongozi nazidi kusoma vizur na kitaka kuelewa? Unasema TRA haijawahi kuvuka lengo? Kwani malengo ya TRA ni kukusanya kiasi gani kwa mwezi? Au kukusanya kiasi gani kwa mwaka?
Malengo Yao ni kiasi kile walichopangiwa.

Ni lini TRA ilifikia 100% au kuvuka malengo hayo hayo waliwekewa?
 
Malengi yanawekwa na Wizara ya Fedha na sio TRA.

Mumejaza ujinga kichwani.Mwisho unawezaje kuthibitisha kwamba wanajiwekea malengi kidogo?

Toka umeanza kusikia TRA ,ni lini waliwahi vuka malengo Kwa kupata zaidi ya asilimia 100% kwenye malengo Yao?
Matako yako mtoto senge wewe.

Yan hujawahi sikia TRA amevuka lengo Ndio leo?

Hivi vitoto vya elfu 2000 Tabu sana kuishi navyo. Hujui alafu mmbishi.
 
Ingia itafute,nikuwekee Mimi tena?
Ndio inavyotakiwa. Vinginevyo tutakua tunabishana vitu bila sababu. Financial statements sio Siri huwa hadharani. Ungeweka kama nilivyoweka ingependeza. Lakini mbona mengine unaenda kutafuta na kuleta kwa nini sio hili?
 
Rekodi ya wapi? Hamna lolote! Nchi hii ni watu wachache ndio wanalipa kodi. Yapo maeneo mengi sana hawakusanyi kodi na kuna watu wanaumizwa kwa kodi.
Ukiona watu hawalipi Kodi wariooti TRA.

Wamevuka malengo waliyowekewa au wewe una hoja gani? Hawajavuka?
 
Ndio inavyotakiwa. Vinginevyo tutakua tunabishana vitu bila sababu. Financial statements sio Siri huwa hadharani. Ungeweka kama nilivyoweka ingependeza. Lakini mbona mengine unaenda kutafuta na kuleta kwa nini sio hili?
Siwezi kukuhangaikia,wewe unaebisha ndio weka data zako
 
Malengo Yao ni kiasi kile walichopangiwa.

Ni lini TRA ilifikia 100% au kuvuka malengo hayo hayo waliwekewa?
Sijui kila kitu, ndio nauliza malengo waliyopangiwa ni kiasi gani? Hapa ndio nahitaji kujua kutoka kwako ili nami nijue. TRA wamepangiwa kiasi gani kwa mwezi?
 
Matako yako mtoto senge wewe.

Yan hujawahi sikia TRA amevuka lengo Ndio leo?

Hivi vitoto vya elfu 2000 Tabu sana kuishi navyo. Hujui alafu mmbishi.
🤣🤣 Umepanic ,Sasa unaonesha jinsi ulivyo wa hovyo 😆😆

Ndio nakwambia Sasa kwamba ni lini na wapi uliwahi ona TRA imefikia 100% au kuvuka malengo kama awamu hii ya Mwenda/Samia.
 
Back
Top Bottom