ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #181
Ongezeko la mara 2 chini ya miaka 5 sio sawa na ongezeko la chini ya mara 2.kwa miaka 5.5.Tumerudi pale pale number za mapato hazishuki zinaongezeka. Unasema Sasa hivi kwa mwezi ni mara mbili ya 1.5T? Kwa mwezi sasa hivi ni 3trillion ambayo kwa mwaka ni 36trillion?? Mmmh hii ni kweli? Kwa sasa mapato yetu ni trillion 36?? Mmmh
Pia Mwaka wa Fedha 2025/26 ndio projection hiyo na tayari Iko kwenye Budget proposal ambayo itaanza kusomwa mwezi wa 4.
Mzee namba Huwa hazidanganyi na google ni mtunza kumbukumbu mzuri
View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1024660238794940417?t=yziX8XU1bs3rwvXYxnzmNw&s=19