Yaliwezekana vipi, visivyo wezekana kwa sasa!!?Mkiambiwa mahitaji ni makubwa kuliko keki muwe mnaelewa.
Pili lazima ujue Tanzania sio masaki tuu ni kubwa Kila sehemu pesa inahitajika.
Mwisho muwe mnalipa Kodi stahiki,Kwa ukubwa wa Uchumi wa Tanzania tunakusanya hela kidogo sana Kwa sababu Wananchi wengi wanakwepa Kodi ila wanadai Huduma,hazitakaa zije maana hazitokei Mbinguni bali tuklipa Kodi ndio zinapatikana,no shortcut.
Mwisho Kwa nini ujiskie vibaya wakati ndio kilichopatikana? Wewe unadhani hizo hela zinatosha kuweka Kila Huduma inayohitajika? Unajua Bajeti ya Elimu Bure? Bajeti ya mikopo?