TRA Yaweka rekodi Mpya Kwa Kukusanya Trilioni 16.5 kwa miezi 6. Yavuka Malengo kwa asilimia 103%.

Mkiambiwa mahitaji ni makubwa kuliko keki muwe mnaelewa.

Pili lazima ujue Tanzania sio masaki tuu ni kubwa Kila sehemu pesa inahitajika.

Mwisho muwe mnalipa Kodi stahiki,Kwa ukubwa wa Uchumi wa Tanzania tunakusanya hela kidogo sana Kwa sababu Wananchi wengi wanakwepa Kodi ila wanadai Huduma,hazitakaa zije maana hazitokei Mbinguni bali tuklipa Kodi ndio zinapatikana,no shortcut.

Mwisho Kwa nini ujiskie vibaya wakati ndio kilichopatikana? Wewe unadhani hizo hela zinatosha kuweka Kila Huduma inayohitajika? Unajua Bajeti ya Elimu Bure? Bajeti ya mikopo?
Yaliwezekana vipi, visivyo wezekana kwa sasa!!?
 
Milima hatari Tanzania,kuelekea chunya,ukitokea mbeya
Iko chini manispaa ya mbeya ? Navyojua kwa zile manassas zilizo na makusanyo juu ya bil 6 wanatakiwa watoe fungu kukarabati barabara za tarura na kama ukikuwa hujui samia hawez ingilia vitu vya vilivyoko chini ya uwezo wa madiwani. Walaumu madiwani wako ambao wamekalia kujilipa posho kwenda kufanya ziara za kujifunza
 
Hii barabara ipo chini ya Tanroads mkoa wa Mbeya.
Kibuyu wewe
 
Attachments

  • images (15).jpeg
    images (15).jpeg
    38.3 KB · Views: 0
Hapo eneonla mlimani karibia kms 6 ,wameondoa lami yote,sasa ni miezi 6, hakuna kinachoendelea.

Tanganyika hakuna eneo la Barbara hatari kama eneo Hilo, na bado serikali inacheza na roho za watu
Madiwani wako au mbunge wako ushawahi msikia anaongelea lolote? Kwahiyo mtu akiwa rais ni Malaika ajue kila kitu mtaani
 
Kwani kipindi cha magu makusanyo yalikuwaje na alijenga nini kwa fedha za ndani?
SGR, Bwawa la Nyerere, Daraja la Busisi, Daraja la wami, radi za viwanja vya ndege, ukarabati wa JNIA, kununua ndege 10 cash, stand za mabasi mikoani, makao makuu Dodoma etc
 
Kumbe ? Sasa aliyesema tarura hawafanyi kazi ni nani sio weye? Kumbe hata hujui utofauti wa tanroad na tarura
Nimetaja Tarura imeoza,kwa sababu, wameshindwa kumlipa mkandarasi anayejenga Barabara Kwa kiwango cha changarawa na makalvat kutoka Matundasi chunya kwenda Itumbi kms 13 TU.
Mkandarasi amekimbia site,huku kila siku ,mnashinda mitandaoni mkimsifia Eng. Seif CEO wa Tarura,kumbe hakuna kitu.
 
SGR, Bwawa la Nyerere, Daraja la Busisi, Daraja la wami, radi za viwanja vya ndege, ukarabati wa JNIA, kununua ndege 10 cash, stand za mabasi mikoani, makao makuu Dodoma etc
Sgr,daraja la busisi,jhhp vyote aliviacha vikiwa chini ya 10% na alikuwa kashabeba mkopo wa Zaid ya 11bil usd ambazo mpaka sasa hatujui zilifanya nini ila akatununulia mabehewa yaliyotumika 30 double decker ambayo mpaka sasa yamepokelewa 6 tu na kwa taarifa hata hayo hayawez vuka hata dodoma maana ni marefu kupita kwenye mahandaki.
HAKUNA ALICHOFANYA MAGU ALIKUWA JAMBAZI ILA ALIWAPOFUSHA NYIE WAFUATA UPEPO
 
Mkopo alichukua wapi?
 
Saa100, madiwani na wabunge, upstairs wako sawa.
kumbe hata hujui unachoongea Diwali ananguvu kwa ngazi ya jimbo ndo anaamua shule ijengwe wapi na mambo yote yanayohusu maendeleo ya jimbo lazima yaanzie kwa madiwani. Mbunge kwa ngazi kitaifa lazima angeweza kuliongelea hilo ili na kupambana ili Matakwa ya jimbo yatimilizwe .
Samia hawez fanya lolote bila idhini ya wabunge ila kwa sabab mnaamini kuwa rais ni mungu ndo hayo
 
Sgr,daraja la busisi,jhhp vyote aliviacha vikiwa chini ya 10% na alikuwa kashabeba mkopo wa Zaid ya 11bil usd ambazo mpaka sasa hatujui zilifanya nini ila akatununulia mabehewa yaliyotumika 30 double decker ambayo mpaka sasa yamepokelewa 6 tu na kwa taarifa hata hayo hayawez vuka hata dodoma maana ni marefu kupita kwenye mahandaki.
HAKUNA ALICHOFANYA MAGU ALIKUWA JAMBAZI ILA ALIWAPOFUSHA NYIE WAFUATA UPEPO
Saa100, amechukua mikopo ya kujenga vyoo vya shule,majengo ya madarasa,ofisi,na hospital.
Hii mikopo inalipwa kwa njia Gani?
 
kumbe hata hujui unachoongea Diwali ananguvu kwa ngazi ya jimbo ndo anaamua shule ijengwe wapi na mambo yote yanayohusu maendeleo ya jimbo lazima yaanzie kwa madiwani. Mbunge kwa ngazi kitaifa lazima angeweza kuliongelea hilo ili na kupambana ili Matakwa ya jimbo yatimilizwe .
Samia hawez fanya lolote bila idhini ya wabunge ila kwa sabab mnaamini kuwa rais ni mungu ndo hayo
Wabunge wako wapi? Wote ni viti maalum
 
Ndo nikuulize wewe public debt toka 2015 _2021 ilikuwaje ikapanda kwa 11bil usd
Saa100 sasa ametufikisha 98 Trillions.
9 Nov 2021 — Deni hilo la taifa linalofikia kiasi cha shilingi trilioni 78
Kutoka 2021 Hadi Sasa kwa kipindi cha miaka mitatu, huyu mama ,amekopa 20 Trillions
 
Saa100, amechukua mikopo ya kujenga vyoo vya shule,majengo ya madarasa,ofisi,na hospital.
Hii mikopo inalipwa kwa njia Gani?
Ongezea na ujenzi wa sgr phase 4,5 na kumalizia jhhp ambayo magu aliacha ikiwa 10% , pia akanunua na mabehewa 59,emu 10 na mabehewa ya mizigo 1400 ambayo magu alitununulia used
 
Saa100 sasa ametufikisha 98 Trillions
Na makusanyo yamepanda mara mbili ya ya pale na vitu vinaonekana tunaweza fanya ukaguzi tukaziona pesa zimeenda wapi tofauti na kipindi cha mwendazake ambapo ujenzi ukiwekwa chini ya ikulu na hakukuwa na auditing yoyote
 
Back
Top Bottom