ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Licha ya mgomo na Hujuma za wafanyabiashara waliochochewa Kisiasa ila TRA imeandika rekodi ya Kukusanya Shilingi Trilioni 7.3 robo ya mwisho wa mwaka (April-June) na pia imefanikiwa kukusanya Shilingi Trilioni 27.6 Kwa mwaka mzima kati ya lengo la kukusanya Trilioni 28.3.ππ
---
Menejimenti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi imesema katika kipindi cha Mwaka wa Fedha 2023/24, imefanikiwa kukusanya kiasi cha Tsh. trilioni 27.64, ambayo ni sawa na ufanisi wa 97.67% ya lengo la kukusanya Tsh. trilioni 28.30.
Taarifa iliyotolewa leo July 01,2024 na Kamishna Mkuu wa TRA, Alphayo Kidato imesema βMakusanyo haya ni ongezeko la 14.50% ikilinganishwa na makusanyo ya Tsh. trilioni 24.14 katika Mwaka wa Fedha uliopita, 2022/23β
βKatika kipindi cha robo mwaka ya nne yaani Aprili - Juni, 2024, TRA imefanikiwa kukusanya kiasi cha Tsh. trilioni 7.09, sawa na ufanisi wa 99.46% ya lengo la kukusanya kiasi cha Tsh. trilioni 7.13, makusanyo haya ni ongezeko la 24% ukilinganisha na kiasi cha Tsh. trilioni 5.72 kilichokusanywa katika kipindi kama hicho kwa Mwaka wa Fedha uliopita 2022/23β
Tunaendelea kuweka rekodi sawa za Rais Samia.Alikuta Mapato ya Juu kabisa Kwa mwezi ni 1.5T(2020/2021) na Sasa ameyafikisha 2.5T(2024/25) yaani ongezeko la Trilioni 1 ndani ya miaka 4.
Kuna Marais wakiongeza Bilioni 500 tuu Kwa miaka 5 ila Makelele waliyokuwa wakipinga Sasa hatukunywa maji.
Saizi Wana wimbo wao Mpya Utasikia watu wanapiga sana hela awamu hii ila ukiwaambia wakati hawapigi hela pesa ziliwmda wapi wataishia kutukana πππππ.
My Take
Hongera TRA Kwa kazi nzuri, Hongera Samia Kwa kukusanya Kodi kubwa na hongera walipakodi wote.ππ
View: https://www.instagram.com/p/C85cFw2tnIh/?igsh=YWhram1xcGY4cjli
Mambo ya Kugoma sio dili ,tunajichelewesha na kuchelewesha maendeleo ya Nchi.
Samia Mama wa Taifa ndio gwiji wa Uchumi wa Kisasa ,mama Anatosha na chenji inabaki.ππ
View: https://twitter.com/TRATanzania/status/1808786525653475627?t=sDE6atWbVdaO8dQVKhnZKA&s=19
Pia soma Kodi zetu ndio Maendeleo ya Taifa letu