TRA yazindua kodi ya kitanda kutoka kwa Watalii

TRA yazindua kodi ya kitanda kutoka kwa Watalii

yani huyu dada hajawahi post eti "magufuli awanyoosha mabeberu...." mwikoooo yeye yale mabaya tu ,daah kuna watu wanaroho ngumu aisee 😂😂😂😂😂
Usishangae sana mkuu. Watu wana chuki, tena wana chuki hadi kwa wanaowapa ulinzi wanapokua wamelala.

Kuna dada wa bongomovie aliwahi sema kwenye media hana mama, akadadavua mamake alishakufa ilihali mamake mzazi yuko hai na anamsikiliza sembuse huyu

Dunia inaenda kasi sana hii
 
Naona hoja inaanza kuchepushwa kutoka kwenye uchumi kwenda siasa, sawa ndivyo watiziii tulivyozoea, bila jambo kutiliwa siasa kdogo halinogi....
 
Tunakumbuka huko nyuma TRA ilivyokuwa...

Awamu ya 5 imeiamsha.....

Leo hii TRA inakusanya kwa mwezi mpaka 1.6 Trillion ....mapinduzi MAKUBWA HAYAA ..
 
Usishangae sana mkuu. Watu wana chuki, tena wana chuki hadi kwa wanaowapa ulinzi wanapokua wamelala.

Kuna dada wa bongomovie aliwahi sema kwenye media hana mama, akadadavua mamake alishakufa ilihali mamake mzazi yuko hai na anamsikiliza sembuse huyu

Dunia inaenda kasi sana hii
Hivi aliyeongea na TV zote za Tanzania na mimi niliyeleta kipande tu cha taarifa hapa JF nani aliyesambaza ?

Halafu kwanini taarifa kama hizi mnataka zifichwe , zina ubaya gani kama lengo ni kuongeza mapato ya nchi ?
 
Weka taarifa nzima kuhusu hiyo kodi usiweke vile unavyovipenda tuu
 
Ni jambo la kheri kama wamepunguza PAYE kwenya mishahara ya wafanyakazi, na ikepelekwa sehemu nyingine. Ni kweli serikali inahitaji pesa kwa ajili ya maendeleo. Sasa wapunguze PAYE halafu wasiwachaji wageni?
Au ndio sababu mshahara wa mwezi huu sijauelewa elewa hizo namba Kama zimeongezeka kidogo hivi!!!😂🤣😂
 
Back
Top Bottom