TRA yazindua kodi ya kitanda kutoka kwa Watalii

TRA yazindua kodi ya kitanda kutoka kwa Watalii

Hata hao mnaowatetea ukienda kwao kulipa bed time levy ni utaratibu, sio swali wala ombi
Erythrocyte kuna vitu watanzania tunaongeaga na kufanya hadi hao Mabeberu wenyewe wanatuhurumia. Tofauti ZA kiitikadi zisfanye tukakosa uzalendo
 
Weka taarifa nzima kuhusu hiyo kodi usiweke vile unavyovipenda tuu
JF iko huru sana , kama wewe unadhani taarifa yangu ni ya uongo toa taarifa kwa viongozi wa jukwaa , au kama unayo taarifa inayoonyesha kwamba hakuna kodi ya kitanda basi iweke hapa mkuu ili kunipinga , lakini vinginevyo utakuwa unanichukia bure tu .
 
Mmekuwa wachawi sasa kila kitu kwenu kibaya...
 
Usishangae sana mkuu. Watu wana chuki, tena wana chuki hadi kwa wanaowapa ulinzi wanapokua wamelala.

Kuna dada wa bongomovie aliwahi sema kwenye media hana mama, akadadavua mamake alishakufa ilihali mamake mzazi yuko hai na anamsikiliza sembuse huyu

Dunia inaenda kasi sana hii
Wana macho LAKINI HAWAONI...
Wana masikio LAKINI HAWASIKII...

Taifa linachanja mbuga kwa faida yetu sote ikiwemo "wakosoaji wasio na hisani".
 
JF iko huru sana , kama wewe unadhani taarifa yangu ni ya uongo toa taarifa kwa viongozi wa jukwaa , au kama unayo taarifa inayoonyesha kwamba hakuna kodi ya kitanda basi iweke hapa mkuu ili kunipinga , lakini vinginevyo utakuwa unanichukia bure tu .
Hata hao mnaowatetea ukienda kwao kulipa bed time levy ni utaratibu, sio swali wala ombi
Erythrocyte kuna vitu watanzania tunaongeaga na kufanya hadi hao Mabeberu wenyewe wanatuhurumia. Tofauti ZA kiitikadi zisfanye tukakosa uzalendo
 
Waeleze vizuri kitanda cha 6 kwa 6 shingapi na 4 kwa 6 beigani!! Pia nkilala saa 1 mwingine saa 9 tunalipiaje? Ukilala mwenyewe au ukiwa na pisikali unalipaje??
Birilli anti aidiazi hapo wafanyiziye kazi wazindue PAYS (pay as you 'slip') najua msg senti andi derivadi!! hiiiiiii
 
Tii shuruti bila sheria.

Kutii Mamlaka​

Warumi13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu. 3 Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema bali wale wanaotenda maovu. Kama hupendi kuishi kwa kumwogopa mwenye mamlaka, basi tenda mema naye atakusifu. 4 Maana mwenye mamlaka ni mtumishi wa Mungu kwa manufaa yako. Lakini kama ukitenda maovu, basi ogopa kwa maana hatembei na silaha bure. Yeye ni mtumishi wa Mungu anayetekeleza adhabu ya Mungu juu ya watenda maovu. 5 Kwa hiyo ni lazima kutii wenye mamlaka, si kwa sababu ya kuogopa adhabu tu bali pia kwa ajili ya dhamiri.

6 Kwa sababu hiyo hiyo mnalipa kodi, kwa maana watawala ni watumishi wa Mungu ambao hutumia muda wao wote kutawala. 7 Walipeni wote haki zao; mtu wakodi mlipe kodi; na mtoza ushuru mli pe ushuru; astahilie kunyenyekewa, mnyenyekee; astahiliye hesh ima, mheshimu.
 
Afadhali wametoa orodha kwenye gazeti la serikali kisheria maana TRA wengine walianza kutoza kodi na kudai returns na kupiga faini bila designation ya malazi/hoteli husika kwenye gazeti hilo au kusajiriwa,huo ni ukiukwaji wa sheria ya utalii 2008. Pia ni vizuri mahoteli yakapangiwa kodi tofauti kulingana na hadhi zake na pato. That will be ok kwa ustawi wa sekta yenyewe badala ya 1.5 usd kila hoteli bila kuzingatia utofauti ili kukwepa kuua mahoteli nk
 
Back
Top Bottom