Trace Awards 2025: 26 February Mora Resort, Zanzibar

Tayari tukio limeanza kuruka LIVE, na sasa ni matukio kutokea blue carpet…
 
Mimi kama mdau wa fashion nainjoi sana kuangalia drama za hii blue carpet.

Na wanahojiwa kwa English naona kidogo na Kifaransa, itakuwaje akina Masha Love sasa? Au wataishia kupiga picha pekee?
 
Aaliyah kapendeza mnooo! Hivi Diamond kwanini asimuoe huyu mdada mzuri hivi ambaye familia yake ndio wanamtaka?

Na Aaliyah ndiye host wa tukio la ugawaji tuzo leo, nasubiria picha niwawekee hapa namna alivyopendeza.
 
Mimi kama mdau wa fashion nainjoi sana kuangalia drama za hii blue carpet.

Na wanahojiwa kwa English naona kidogo na Kifaransa, itakuwaje akina Masha Love sasa? Au wataishia kupiga picha pekee?
Naona Ariya, Mtangazaji wa Wasafi Kapita hapo. She is so Good and Proffesional.

Hata wakati wa kugawa Tuzo za TMA, ali wa outshine wale wahuni wa kiume kwa maoni yangu
 
Halafu anajikubali! Natumaini leo pia hajavaa kigodoro kama ilivyo utamaduni wake.
Haya magauni ya kuburuza sisi wenye shape za kutondokea bafuni hatutoboi bila kigodoro. Lol

Sasa si bora Aaliyah, DJ Fetty je? Halafu alikuwa hajiamini anatembea kiupande upande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…