Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Feb 28, 2025 Thread starter #41 Joanah said: Hivi Pdidy una miaka mingapi? πππ Member since 2007 ni miaka 18 upo humu lakini namna unavyoandika nyuzi na comments zako π€¦ββοΈ Click to expand... UNATAKA kunipa trace awards??
Joanah said: Hivi Pdidy una miaka mingapi? πππ Member since 2007 ni miaka 18 upo humu lakini namna unavyoandika nyuzi na comments zako π€¦ββοΈ Click to expand... UNATAKA kunipa trace awards??
mwekwa ntandu JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,040 Reaction score 2,428 Mar 1, 2025 #42 Sema leo mwamba umejitahidi kupodoa mwandiko au kuna mtu kakupiga tafu,umejitahidi kwa kweli na huyo ras Simba wa mwandiko usiache kuhudhuria tuisheni zake[emoji28]
Sema leo mwamba umejitahidi kupodoa mwandiko au kuna mtu kakupiga tafu,umejitahidi kwa kweli na huyo ras Simba wa mwandiko usiache kuhudhuria tuisheni zake[emoji28]