TRAFFIC ENGINEERING: Ni vigezo gani huzingatiwa katika kufanya maamuzi ya kufunga "traffic lights" au kuweka "roundabout" kwenye makutano ya barabara?

Acha siasa chafu katika masuala ya msingi
 
Uchafu uko wapi?
Uchafu ni hiki ulichoandika huko juu;

Hivi kwa akili yako ya std 1 unaweza kufanya maamuzi ya kujenga uwanja wa kimataifa chato badala ya kupanua wa mwanza na kuweka taa ule wa Mbeya ambao ndege hazitui usiku kwa kukosa taa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…