Kisoda James
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 1,114
- 813
Acha siasa chafu katika masuala ya msingiInategemea nani yuko madarakani, waziri wa fedha nani na waziri wa ujenzi nani. Hivi kwa akili yako ya std 1 unaweza kufanya maamuzi ya kujenga uwanja wa kimataifa chato badala ya kupanua wa mwanza na kuweka taa ule wa Mbeya ambao ndege hazitui usiku kwa kukosa taa?. Utaalamu ni ulaya sio afrika.