Traffic Goba Njia nne mbona kama uwepo wenu umeongeza foleni?

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
1,473
Reaction score
529
Njia nne Goba round about kwa sasa kuna askari wa usalama barabarani wa kutosha sana wanaoongoza magari kupita kwa zamu, tunawapongeza sana kwa jitihada hii ya kupambana na foleni. Hata hivyo, toka mmeanza kuruhusu magari kwa zamu imesababisha foleni kuongezeka mara dufu. Kuthibitisha hilo ni kwamba pale round about ya Goba Centre asubuhi hakuna foleni kabisa, makongo hakuna, foleni unaikuta mlimani city ambayo nayo inatembea. Ushauri wangu, acheni magari ya flow yenyewe, kamateni wanaotanua tu. Mnaweza kufanya majaribio ya kuongoza na kuacha magari yajiongoze halafu mtaona. Mawazo hayapigwi rungu.
 
ukiona hivyo ujue bosi wao anapita hio njia
 
Back
Top Bottom