Traffic usiku naomba mjilinde msiamini haya malori pls mtaisha

Traffic usiku naomba mjilinde msiamini haya malori pls mtaisha

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Leoo nilikuwa nasubiria kaka na gari la kutoka Moshi

Saakumi usiku..BAADA ya mda nkashangaa hapatikan

Nkakaa mpaka saa mbili akanipigia aisee sorry ndio tunakuja tumepata ajali

Hee kivipi mbona MASAA mengi akasema walikuwa wameshapita bagamoyo

BAADA ya mda wakasimamishwa na traffic

Traffic akaenda usawa wa dreva wakachukua zaidi ya dk Tano awaondoki

Ikapita Lori Moja inatoka nyuma yaoo na MBELE KUNA Lori imewaka inakeenda maeneo ya msata

Fuso AKAOMBA Bora amalizane na basi akaanza kumkwaruza kuanzia kati traffic akapitiwa

Wakashangaa Yuko MBELE kama anakata roho anahangaika

Dreva WA Lori akaongeza speed akaenda kasimamisha Lori kumbe kuna traffick anaifwatilia AKAOMBA jamaa WA pikipik wamfwate nyuma

Jamaa alipoona anawashiwa TAA akaona kinanuka....akasimamisha akimbie

Doh aisee anakwambia pikipik zilimfukuza HATARE na nusu wakamweka wakati akajaaa

Wamemuaa na Yeye...daaa sijui HAPO kesi inaenda kwa nani

Nawaomba tu hasa usiku msiwaamini sana malori usiku NDUGU ZANGU Hawa sio WATU usiku n wanyama..usishangae kusikia ajali kila siku na wengi Wa madreeva wanakuwa wamekulaa bangi na mirungii usiku

Ushauri
 
Back
Top Bottom