Trafiki andrew aliyehusika na tukio la ugomvi lugalo leo huwa anatabia ya kufokea madereva

Trafiki andrew aliyehusika na tukio la ugomvi lugalo leo huwa anatabia ya kufokea madereva

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
12,283
Reaction score
23,443
Ndugu zangu;
Kila mtu anafahamu wazi,

Kwamba, Askari waliopewa mamlaka za kusimamia sheria za usalama barabarani ni Trafiki police!

Lakini zipo changamoto nyingi sana katika baadhi ya maaskari wa usalama barabarani!

Mfano: Askari Andrew aliyehusika na tukio la kupigana na dereva (Conrad A. Kayoza mkazi lugalo-JWTZ)
Pamoja na mamlaka aliyonayo kisheria kama trafiki lakini huyu bwana ANDREW Huwa hana weledi katika majukumu yake!

Huyu andrew anatabia hata kutoa lugha za matusi kwa dereva ( Mfano; wee msenge nimekwambia nipe leseni yako) .

Shida nyingine ambayo Andrew aliyonayo huwa akishika leseni anaweza kukuandikia makosa kwa lazima au kukupotezea muda makusudi,
Kibaya zaidi Trafiki huyu anatabia za kuchomoa funguo kwa nguvu huku akitoa lugha chafu!

Ni kweli tunatambua Trafiki anayo mamlaka ya kisheria lakini hana mamlaka ya kutumia lugha chafu na kutweza utu wa watu kwa maneno tena wakati mwingine unatukanwa mbele ya mzazi au mke. Inaumiza sana na kutia hasira kwa wasioweza kujizuia

Tunaomba sana watu wote tuzingatie sheria lakini Askari wa usalama barabarani waelekezwe weledi katika kutekeleza majukumu yao pasipo kutweza utu wa mtu!

BAADHI YA TRAFIKI HAWANA WELEDI WANAZALILISHA SANA MADEREVA BILA WELEDI NA KUZINGATIA KANUNI
 
Wewe fanya yote ila usije subutu mpiga Askari yeyote na wa jeshi lolote la serikali akiwa ndani ya uniform. Mjomba huko utakapo pelekwa hakuna rangi utaacha ona 🤣🤣
Haibadilishi ukweli kwamba hao popoma hawana akili.

Sema jamaa alishindwa kuthibiti hasira,huyo angempeleleza anakoenda kujipongeza jioni baada ya kuokota buku buku za Bajaj anamvizia anamtandika vya kutosha.
 
Back
Top Bottom