MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Yuko hospitalini akiuguza majeraha aliyopata baada ya kupigwa na wananchi wenye hasira kali waliochukizwa na kitendo chake cha kumpiga traffic police.Huyo mnavyompelemba na kumsifia mitandaoni utadhani anaona chochote
Muda huu kashakula kipigo cha mbwa huko selo ana manundu mwili mzima anajutia maamuzi yake