Idimulwa
Platinum Member
- May 27, 2011
- 6,351
- 5,556
Jifunze tu kujisimamia..Sheria zipo zilizo wazi mbona..?!Mimi huwa nawaweka wazi wakinikuta na kosa la Kitrafiki wanaponiomba funguo za gari kwamba nakupaje ufunguo wa gari langu mwenyewe....???Tena unanilazimisha?? Twende Kituoni nikiwa naendesha gari langu kama litalazimika Kisheria libaki Kituoni ....ndiko nitakako liacha na nitaondoka na funguo za gari langu...Wanaya abuse sana mavazi ya polisi! Baadhi yao Hawana maadili katika kazi zao na sheria ipo kimya kuwalinda! Wanatukana sana matusi
Siyo Barabarani Mtu anataka funguo za gari langu....
Nikitoroka si wanitafute na Watanipata tu..?!Kama wana mbinu mpaka za Kuteka watu ....wanaogopa nini kwa Raia mwenye Traffic Case???