Trafiki andrew aliyehusika na tukio la ugomvi lugalo leo huwa anatabia ya kufokea madereva

Huyo mnavyompelemba na kumsifia mitandaoni utadhani anaona chochote
Muda huu kashakula kipigo cha mbwa huko selo ana manundu mwili mzima anajutia maamuzi yake
Yuko hospitalini akiuguza majeraha aliyopata baada ya kupigwa na wananchi wenye hasira kali waliochukizwa na kitendo chake cha kumpiga traffic police.
 
Wapigwe tu! Naungana na Conrad kwa hicho alichokifanya!
 
Yuko hospitalini akiuguza majeraha aliyopata baada ya kupigwa na wananchi wenye hasira kali waliochukizwa na kitendo chake cha kumpiga traffic police.
Wacha uongo wako na wewe matako wewe! Hakuna mwananchi aliyempiga Conrad, JWTZ wenyewe wamekuja kuanzia pale wakaamulia ugomvi maana wamemkuta Afande amepigwa robber yuko chini anagalagazwa ndipo wakaamulia na kuondoka na huyo jamaa! Hao wananchi wa kumpiga uliwatoa wapi?
 
Wacha uongo wako na wewe matako wewe! Hakuna mwananchi aliyempiga Conrad, JW wenyewe wamekuja kuanzia pale watamkuta askari amepigwa robber yuko chini anagalagazwa ndipo wakamulia na kuondoka na huyo jamaa! Hao wananchi wa kumpiga uliwatoa wapi?
Wewe k♡ma nenda kasome taarifa ya polisi kwa umma.
 
Wacha uongo wako na wewe matako wewe! Hakuna mwananchi aliyempiga Conrad, JW wenyewe wamekuja kuanzia pale watamkuta askari amepigwa robber yuko chini anagalagazwa ndipo wakamulia na kuondoka na huyo jamaa! Hao wananchi wa kumpiga uliwatoa wapi?
Hio kusema wananchi wamempiga wanajisafisha tu,wamempiga wao huko kituoni.
 
Huyo mnavyompelemba na kumsifia mitandaoni utadhani anaona chochote
Muda huu kashakula kipigo cha mbwa huko selo ana manundu mwili mzima anajutia maamuzi yake
Tuna
Ndio maana nimekwambia fanya yote ila usije fikia hiyo steji aliyofikia huyo bwana leo. Yaani huko alipo saivi atakuwa anajutia sana.

Hio kusema wananchi wamempiga wanajisafisha tu,wamempiga wao huko kituoni.
Upo sahihi
 
Wewe fanya yote ila usije subutu mpiga Askari yeyote na wa jeshi lolote la serikali akiwa ndani ya uniform. Mjomba huko utakapo pelekwa hakuna rangi utaacha ona 🤣🤣
Na wao wana watoto na wanafamilia, huwa wanaumwa sasa hilo beef waliolianzisha na madaktari mshindi ni mmoja tu, waache kujichukulia sheria wanatakiwa wasimamie sheria, kwanza polisi hakutakiwa kuchukua funguo za mtu ,pili hadi kupigwa lazima ali mprovoke yule daktari, tatu polisi kama wasimamizi wa sheria walitakiwa wamkamate na kumfikisha mahakamani, tofauti na hapo huwezi kuweka uadui na madaktari au hospitali, utaumia tu wewe na familia yako
 
Wewe fanya yote ila usije subutu mpiga Askari yeyote na wa jeshi lolote la serikali akiwa ndani ya uniform. Mjomba huko utakapo pelekwa hakuna rangi utaacha ona 🤣🤣
Uzuri na jamaa amejiwekea historia yake. Dunda kweli afande. Wakati mwingine afande atakuwa makini kuzuia mdomo wake kutukana hovyo na kuwafokea watu wazima.
 
Trafiki wengi ni wasumbufu, wapenda rushwa, wanapenda kubambikia madereva/wamiliki wa magari makosa ili wapokee rushwa au kuwalipisha faini! Siyo waelewa! Jambo dogo wanalikuza! Wengi hawana busara! Wanapenda kutumia nguvu na lugha za vitisho kuliko kuelimisha!
Binafsi sifurahii kabisa uwepo wao barabarani.
 
Hii itakuwa ni hatari kwa askari wengine ni wema! Kuna baadhi tu ya trafiki kwakweli hawana weledi kabisa muda wote wapo kutishia watu na maneno machafu na kubambika makosa kwa lazima, na dereva hana mtetezi
 
Kweli kabisa lugha chafu mdomoni
 
Pole Mkuu....Aelekezwe Weledi katika kazi na nani....?!CCM hawa hawa.....!!!!??au unaota...!!!?...Chanzo Cha yote haya ni CCM na dawa ni kuwabana tupate Katiba Bora na Tume Huru Ya Uchaguzi..uone kitakachotokea..Wanachomoka Mapema mno..tena kwenye URAIS ndiyo wepesi kabisaaa..,.
Sasa Trafiki mwenyewe kapata kazi kupitia konekisheni ya -MWASHAMBWA na TLAATTLAAH -!!! Unategemea nini hapo???!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…