Jifunze tu kujisimamia..Sheria zipo zilizo wazi mbona..?!Mimi huwa nawaweka wazi wakinikuta na kosa la Kitrafiki wanaponiomba funguo za gari kwamba nakupaje ufunguo wa gari langu mwenyewe....???Tena unanilazimisha?? Twende Kituoni nikiwa naendesha gari langu kama litalazimika Kisheria libaki Kituoni ....ndiko nitakako liacha na nitaondoka na funguo za gari langu...Wanaya abuse sana mavazi ya polisi! Baadhi yao Hawana maadili katika kazi zao na sheria ipo kimya kuwalinda! Wanatukana sana matusi
Wakikufisha kituoni wana kusweka rumandeJufunze tu kujisimamia..Sheria zipo zilizo wazi mbona..?!Mimi huwa nawaweka wazi wakinikuta na kosa la Kitrafiki wanaponiomba funguo za gari kwamba nakupaje ufunguo wa gari langu mwenyewe....???Tena unanilazimisha?? Twende Kituoni nikiwa naendesha gari langu kama litalazimika Kisheria libaki Kituoni ....ndiko nitakako liacha na nitaondoka na funguo za gari langu...
Siyo Barabarani Mtu anataka funguo za gari langu....
Nikitoroka si wanitafute na Watanipata tu..?!Kama wana mbinu mpaka za Kuteka watu ....wanaogopa nini kwa Raia mwenye Traffic Case???
Kwani kuna ugumu gani kutumia lugha za kiweledi kuliko matusiPole Mkuu....Aelekezwe Weledi katika kazi na nani....?!CCM hawa hawa.....!!!!??au unaota...!!!?...Chanzo Cha yote haya ni CCM na dawa ni kuwabana tupate Katiba Bora na Tume Huru Ya Uchaguzi..uone kitakachotokea..Wanachomoka Mapema mno..tena kwenye URAIS ndiyo wepesi kabisaaa..,.
Sasa Trafiki mwenyewe kapata kazi kupitia konekisheni ya -MWASHAMBWA na TLAATTLAAH -!!! Unategemea nini hapo???!!!!
Mbona unapaniki sasa? Udereva unaotamba nao ni wa bodaboda. Kaa kimya kenge wewe.Hata kama siyo dereva kama huna hoja kaa kimya,
msenge sana huyu askarNdugu zangu;
Kila mtu anafahamu wazi,
Kwamba, Askari waliopewa mamlaka za kusimamia sheria za usalama barabarani ni Trafiki police!
Lakini zipo changamoto nyingi sana katika baadhi ya maaskari wa usalama barabarani!
Mfano: Askari Andrew aliyehusika na tukio la kupigana na dereva (Conrad A. Kayoza mkazi lugalo-JWTZ)
Pamoja na mamlaka aliyonayo kisheria kama trafiki lakini huyu bwana ANDREW Huwa hana weledi katika majukumu yake!
Huyu andrew anatabia hata kutoa lugha za matusi kwa dereva ( Mfano; wee msenge nimekwambia nipe leseni yako) .
Shida nyingine ambayo Andrew aliyonayo huwa akishika leseni anaweza kukuandikia makosa kwa lazima au kukupotezea muda makusudi,
Kibaya zaidi Trafiki huyu anatabia za kuchomoa funguo kwa nguvu huku akitoa lugha chafu!
Ni kweli tunatambua Trafiki anayo mamlaka ya kisheria lakini hana mamlaka ya kutumia lugha chafu na kutweza utu wa watu kwa maneno tena wakati mwingine unatukanwa mbele ya mzazi au mke. Inaumiza sana na kutia hasira kwa wasioweza kujizuia
Tunaomba sana watu wote tuzingatie sheria lakini Askari wa usalama barabarani waelekezwe weledi katika kutekeleza majukumu yao pasipo kutweza utu wa mtu!
BAADHI YA TRAFIKI HAWANA WELEDI WANAZALILISHA SANA MADEREVA BILA WELEDI NA KUZINGATIA KANUNI
Kauli yako ni chonganishi, unataka kushauri wananchi wawe wanawavizia huku mitaani then wamalizane nao kimya kimya..Wewe fanya yote ila usije subutu mpiga Askari yeyote na wa jeshi lolote la serikali akiwa ndani ya uniform. Mjomba huko utakapo pelekwa hakuna rangi utaacha ona 🤣🤣
Ila watanzania 🙏🙏🙏Ndugu zangu;
Kila mtu anafahamu wazi,
Kwamba, Askari waliopewa mamlaka za kusimamia sheria za usalama barabarani ni Trafiki police!
Lakini zipo changamoto nyingi sana katika baadhi ya maaskari wa usalama barabarani!
Mfano: Askari Andrew aliyehusika na tukio la kupigana na dereva (Conrad A. Kayoza mkazi lugalo-JWTZ)
Pamoja na mamlaka aliyonayo kisheria kama trafiki lakini huyu bwana ANDREW Huwa hana weledi katika majukumu yake!
Huyu andrew anatabia hata kutoa lugha za matusi kwa dereva ( Mfano; wee msenge nimekwambia nipe leseni yako) .
Shida nyingine ambayo Andrew aliyonayo huwa akishika leseni anaweza kukuandikia makosa kwa lazima au kukupotezea muda makusudi,
Kibaya zaidi Trafiki huyu anatabia za kuchomoa funguo kwa nguvu huku akitoa lugha chafu!
Ni kweli tunatambua Trafiki anayo mamlaka ya kisheria lakini hana mamlaka ya kutumia lugha chafu na kutweza utu wa watu kwa maneno tena wakati mwingine unatukanwa mbele ya mzazi au mke. Inaumiza sana na kutia hasira kwa wasioweza kujizuia
Tunaomba sana watu wote tuzingatie sheria lakini Askari wa usalama barabarani waelekezwe weledi katika kutekeleza majukumu yao pasipo kutweza utu wa mtu!
BAADHI YA TRAFIKI HAWANA WELEDI WANAZALILISHA SANA MADEREVA BILA WELEDI NA KUZINGATIA KANUNI
Ndio maana nimekwambia fanya yote ila usije fikia hiyo steji aliyofikia huyo bwana leo. Yaani huko alipo saivi atakuwa anajutia sana.
Yuko hospitalini akiuguza majeraha aliyopata baada ya kupigwa na wananchi wenye hasira kali waliochukizwa na kitendo chake cha kumpiga traffic police.
💯Kuna umuhimu tuanze kuheshimu hii kazi ya Upolisi.. Haiwezekani wale wanaofeli Kidato Cha nne ndiyo wanaonekana wanafaa kusomea Upolisi..
Kama kosa linafadhilia hivyo ni sawa tu..naandikisha funguo za gari langu na details zote kaunta na ninabaki na ushahidi..Wakikufisha kituoni wana kusweka rumande
Haya ndio majibu, suluhisho nunueni DASH CAM, haya hayatatokea tena.Ndugu zangu;
Kila mtu anafahamu wazi,
Kwamba, Askari waliopewa mamlaka za kusimamia sheria za usalama barabarani ni Trafiki police!
Lakini zipo changamoto nyingi sana katika baadhi ya maaskari wa usalama barabarani!
Mfano: Askari Andrew aliyehusika na tukio la kupigana na dereva (Conrad A. Kayoza mkazi lugalo-JWTZ)
Pamoja na mamlaka aliyonayo kisheria kama trafiki lakini huyu bwana ANDREW Huwa hana weledi katika majukumu yake!
Huyu andrew anatabia hata kutoa lugha za matusi kwa dereva ( Mfano; wee msenge nimekwambia nipe leseni yako) .
Shida nyingine ambayo Andrew aliyonayo huwa akishika leseni anaweza kukuandikia makosa kwa lazima au kukupotezea muda makusudi,
Kibaya zaidi Trafiki huyu anatabia za kuchomoa funguo kwa nguvu huku akitoa lugha chafu!
Ni kweli tunatambua Trafiki anayo mamlaka ya kisheria lakini hana mamlaka ya kutumia lugha chafu na kutweza utu wa watu kwa maneno tena wakati mwingine unatukanwa mbele ya mzazi au mke. Inaumiza sana na kutia hasira kwa wasioweza kujizuia
Tunaomba sana watu wote tuzingatie sheria lakini Askari wa usalama barabarani waelekezwe weledi katika kutekeleza majukumu yao pasipo kutweza utu wa mtu!
BAADHI YA TRAFIKI HAWANA WELEDI WANAZALILISHA SANA MADEREVA BILA WELEDI NA KUZINGATIA KANUNI
Uduwanzi mkubwa sana kupanda ama kuchkua funguo za tu.Kama kosa linafadhilia hivyo ni sawa tu..naandikisha funguo za gari langu na details zote kaunta na ninabaki na ushahidi..
Siyo kumpa Afande Mtaani tu funguo za gari langu..
Sijaiona kama unayo iwekeleteni ile picha ambayo daktari yuko juu yake anamkandika mingumi, maaneeneerrrr hawa umbwa bila silaha weupe kabisa nashangaaa hata watoto wa kitaa wanavyowaogopa, ni matakataka kabisa hayana kitu afya mbaya, njaa kali stress kibao ,ndio mana mafiisiiemu yanaweza tu kuyaagiza yakaue watu na yenyewe fasta yanaenda yaani yalivyo haya watoto wao na wake zao wanaua tu ilimradi yameambiwa, nyachukia sana majitu yasiyotumia akili.
Tena funguo inachukuliwa huku unatukanwaUduwanzi mkubwa sana kupanda ama kuchkua funguo za tu.
Sio kupigana, ni kupigwa kama vile Kibanga alivyompiga Mkoloni......jamaa hajamtoa meno kweli??Mfano: Askari Andrew aliyehusika na tukio la kupigana na dereva (Conrad A. Kayoza mkazi lugalo-JWTZ)
Coco mambo!Duh
Matwusi!!!!!!!