Kwa hiyo ile service road kutoka Morocco kwenda magomeni msingewekewa vizingiti mngekatiza pembeniHahahaaaa....... Una akili sana.
Ikiwekewa vizingiti haiitwi road bwashee!Kwa hiyo ile service road kutoka Morocco kwenda magomeni msingewekewa vizingiti mngekatiza pembeni
Sasa sisi watumiaji mguu tupite wapi, wazee wa Road work tukimbie wapi
Mnajifikiria nyie tu wenye magari
Ova
Wazee wa kutanuaIkiwekewa vizingiti haiitwi road bwashee!
Wapi Tz hii unaweza kutembea km 10 kwenye service roadPamoja na mapungufu ya traffic lakini ukweli utabaki ukweli kuwa service sio barabara ya kusafiria. Gari inatumia service road km 10 ili iweje. Wapi na wapi. Ile ni barabara unayoingia ili kwenda kwenye maeneo ya pembezoni mwa barabara au kuchepuka kabisa. Au kama kuna uharibifu wa gari.
Laumuni lakini tumieni barabara kuu. Mmejengewa muitumuie hizo barabara kuu. Kama una haraka ondoka mapema ili ufike mapema.
Boss iyo Ni kawaida maana bus kusimama hovyo sehemu ambapo sio stendi Ni kero, Assume umetoka kwenu ukaenda airport kupanda ndege ukiwa unarudi ndege itapapita kwenu kwenda kitua airport. Hivyo na bus linatakiwa kusimama stendi.Naona utaratibu huo upo nchi nzima ni new form of taxation. Road service ni Bus Lane kwa kwetu huku eti leo hii sisi tunaoishi kijijini eti tupande pikipiki hadi mjini (stand kuu) ili upande basi na wakati mabasi hayo yanapita huku huku kijijini kwetu
Mfano wako sijauelewaBoss iyo Ni kawaida maana bus kusimama hovyo sehemu ambapo sio stendi Ni kero, Assume umetoka kwenu ukaenda airport kupanda ndege ukiwa unarudi ndege itapapita kwenu kwenda kitua airport. Hivyo na bus linatakiwa kusimama stendi.
Service road; a subsidiary road running parallel to a main road and giving access to houses, shops, or businesses.Nashangaa sana haya mambo wanayofanya hasa hapa Mbezi Beach Massana mpaka Tanki Bovu gari ikipita service road wanaikamata.
Nauliza ile barabara matumizi yake ni nini?
Nashangaa sana haya mambo wanayofanya hasa hapa Mbezi Beach Massana mpaka Tanki Bovu gari ikipita service road wanaikamata.
Nauliza ile barabara matumizi yake ni nini?
Pamoja na mapungufu ya traffic lakini ukweli utabaki ukweli kuwa service sio barabara ya kusafiria. Gari inatumia service road km 10 ili iweje. Wapi na wapi. Ile ni barabara unayoingia ili kwenda kwenye maeneo ya pembezoni mwa barabara au kuchepuka kabisa. Au kama kuna uharibifu wa gari.
Laumuni lakini tumieni barabara kuu. Mmejengewa muitumuie hizo barabara kuu. Kama una haraka ondoka mapema ili ufike mapema.
Wajumbe wa kamati Kuu ya CCM wamekusikia watalifanyia kazi πππNaomba nianze kwa masikitiko makubwa, kuwa askari wetu wamekuwa wanatumia hizi service roads kutengeneza pesa tena si pato la taifa bali maslahi yao maana wengi wanaowakamata wanaoshia kuwahonga.
TANROADS wamefanya vizuri sana kwenye hii Bagamoyo road, wanapanua kwa kuongeza service roads ambazo zingepunguza foleni lakini Askari wetu wanazitumia kama fursa kwao.
Tufike mahali watanzania tufanye kazi kizalendo na si kimaslahi,
Cha kuchekesha unakuta mainroads kuna foleni iliyojaa kweli halafu askari wetu wako mstari wa mbele kukamata wanaopita service roads, wakati kwa akili yangu ndogo tu, polisi wetu wangetumia service roads kama fursa ya kupunguza foleni.
Inasikitisha uzalendo uko wapi?
Umesemamatrafic wengi hawana elimu juu ya usalama barabarani kupita service road kwa nini wakamate wakati watu wamepata nafasi ya kupita ili wawahi makazini na kuijenga taifa letu wao wanataka mkae kwenye foleni masaa yoote ndio furaha yao. ningeishauri serikali kazi ya utrafic ikabidhi kampuni binafsi ishughulike na kusimamia magari. na pia kudhibiti dawa za kulevya waaunde jeshi tofauti kusimamia dawa za kulevya na wapewe meno bila kuingiliwa
Una gari? Au huwa unaendesha gari?? Labda tuanzie hapo kwanza?Pamoja na mapungufu ya traffic lakini ukweli utabaki ukweli kuwa service sio barabara ya kusafiria. Gari inatumia service road km 10 ili iweje. Wapi na wapi. Ile ni barabara unayoingia ili kwenda kwenye maeneo ya pembezoni mwa barabara au kuchepuka kabisa. Au kama kuna uharibifu wa gari.
Laumuni lakini tumieni barabara kuu. Mmejengewa muitumuie hizo barabara kuu. Kama una haraka ondoka mapema ili ufike mapema.
Barabara ya hudumaUnajua maana ya service road? Au hujui kiingereza?
Polisi huwa hawatumiii akili ya kutoka kwenye ubongo bali akili za masaburini.Nashangaa sana haya mambo wanayofanya hasa hapa Mbezi Beach Massana mpaka Tanki Bovu gari ikipita service road wanaikamata.
Nauliza ile barabara matumizi yake ni nini?