Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Yeye ndio inatakiwa afumuliwe kwanzaSirro alifumie tu jeshi lake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye ndio inatakiwa afumuliwe kwanzaSirro alifumie tu jeshi lake
Sehemu ya huduma ambayo inatoa matokeo ya moja kwa moja kwa wananchi mara nyingi ina malalamiko mengi sana ila inabidi tuyaishi kwani ndio mfumo wetu wa maisha na ipo siku yatakuja kuisha tu kwa vizazi vyetu vijavyo kwani no "hurry in Africa"Yeye ndio inatakiwa afumuliwe kwanza
Wengine mnapita njia za watembea kwa mguu mkidai kuwa ni sevisi rodi!Nashangaa sana haya mambo wanayofanya hasa hapa Mbezi Beach Massana mpaka Tanki Bovu gari ikipita service road wanaikamata.
Nauliza ile barabara matumizi yake ni nini?
Hii mijamaa Ni mifwaalaa Sana. Akilili kidogo miguvu mingi, Mara nyingi upata taaabu Sana baada ya kustaaafu. Anyway yaache yaishi hivyo hivyo kimazoea. Nyie Askari msiojua wajibu wenu kwa raia, My Raise keshawaambia lakini hamsikii mnataka Nani awape maelekezo? Au Yesu na mtume Muhamed washuke ndiyo mtaelewa kufanya kazi zenu kwa haki? Hebu kila mmoja wenu na ajitafakari.Umeona yaaan kama hawajielewi kabisa mimi mwenyewe nimekutana nao nikawaambia na haraka kama vipi niwaachie gari na ufunguo ntalikuta kituoni wakaogopa
Unamaanisha madereva wako sahihi ama Traffic ndio wako sahihiUkienda kuishi nchi za wenzetu kama marekani utapata shida sana. Tatizo Bongo tunalea ujinga mwingi sana.
Ombi kwa serikali Waongeze charges.
Unamaanisha madereva wako sahihi ama Traffic ndio wako sahihi
Aisee umenikumbusha huyo mrangi alikuwa nuksi balaaKuna ile ya Africana inayopita kwenye ghorofa la urithi la Mange Kimambi duh yule Awadh alitutesa sana!
Alishanikamata zaidi ya mara 10 baadae tukawa marafiki tu.
Hapo Shule kwa dogo janja huwa napita kama sijauona mkono vile!
Awadh anakuaga na njaa za kijinga ukimwendekezaKuna ile ya Africana inayopita kwenye ghorofa la urithi la Mange Kimambi duh yule Awadh alitutesa sana!
Alishanikamata zaidi ya mara 10 baadae tukawa marafiki tu.
Hapo Shule kwa dogo janja huwa napita kama sijauona mkono vile!
Unajua mm nimezaliwa wapi? Unajua nafanya kazi wapi acha undenzi wako mtu hata cairo hujawahi kufikaUkienda kuishi nchi za wenzetu kama marekani utapata shida sana. Tatizo Bongo tunalea ujinga mwingi sana.
Ombi kwa serikali Waongeze charges.
Umezaliwa wapi na unaishi wapi mkuu?Unajua mm nimezaliwa wapi? Unajua nafanya kazi wapi acha undenzi wako mtu hata cairo hujawahi kufika
Serikali inatumia maAisee umenikumbusha huyo mrangi alikuwa nuksi balaa
Kuna siku walikamata daladala yangu kwa kupita service road wakati akiwa na cheo cha superintendent, nimefika kituoni kesho yake nikakuta wametoa tairi zote upepo.
Nikamuuliza mantiki ya kutoa upepo ni nini? Gari zinaibiwa kituoni? Akasema na ww ni mkorofi kama dereva wako.
Ikawa ligi mpaka RTO basi ikaamuliwa nisilipe faini nifanye mchakato wa kujaza upepo kwa hiyo hela ya faini
Kwenye suala la service road sheria inazuia magari yasiyo na dharura kupita, ile ni maalum kwa dharura, foleni ya kawaida sio dharura labda kuwe na ajali
Ile barabara haina service road.Kwa hiyo ile service road kutoka Morocco kwenda magomeni msingewekewa vizingiti mngekatiza pembeni
Sasa sisi watumiaji mguu tupite wapi, wazee wa Road work tukimbie wapi
Mnajifikiria nyie tu wenye magari
Ova
Matumizi sahihi ya sheria yanahitaji mambo matatu.Ukienda kuishi nchi za wenzetu kama marekani utapata shida sana. Tatizo Bongo tunalea ujinga mwingi sana.
Ombi kwa serikali Waongeze charges.