Trafiki kama kupita service road ni makosa basi muwaambie Tanroads wasizijenge

Driving leseni za ´´kuokoteza'' ndiyo tatizo. Mwanzisha mada angekuwa anajua sheria za barabarani asingeanzisha thread. Infact madereva wengi Tanzania mambo wanayolalamikia huwa wao ndiyo wana makosa.
 
Driving leseni za ´´kuokoteza'' ndiyo tatizo. Mwanzisha mada angekuwa anajua sheria za barabarani asingeanzisha thread. Infact madereva wengi Tanzania mambo wanayolalamikia huwa wao ndiyo wana makosa.
Mwamba anataka amalize vipenyo vyote barabaran hata ikitokea ambulance ina mgonjwa ishindwe kumuwahisha hospital kisa haraka zake za kipuuzi
 
Ni kweli mapolisi wengi wanatumia sheria vibaya, ili tu wahongwe. Ila bado tu madereva wa Tanzania nao ni wazembe sana na wengi hawajui sheria za barabarani. Wengi wanajifunza sheria moja moja kwa mapokeo (mazimulizi) na hawajasoma rasmi. Matokea yake ni kuwa polisi na madereva wamegeuza ufanyaji kazi kuwa kama ushindani wa paka na panya. Kimsingi serikali inaweza kuendesha mambo mengi kwa kutumia faini wanazotoza kwa madereva kwani kuna uzembe mwingi sana kwenye uendeshaji wa magari kila siku. Kwa mfano Tanzania usipokuwa makini kwenye ''zebra cross'' ni sehemu hatari mno mno. Si ajabu ukakuta dereva mmoja amesimama kupisha waenda kwa miguu, na likaja gari jingine kwa spidi kali na ku-overtake wakati watu wanavuka.
 
Hizi service road zingesaidia sana barabara zingne maana magari yetu yanaharibika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…