Trafiki Kigamboni wanalalamika uzembe wa Tanroad/Tarura Kigamboni unavyowapa kazi ya ziada

Barabara mhimu kama hiyo wanafukia kwa kifusi ambacho kinachimbika siku moja jaman
 
Jana wameweka kifusi kinenyeshewa linekuwa tope,Lori limepita gari ndogo haziwezi kupita tena! Ni upuuzi upuuzi tu.
 
Barabara kubwa wanajaza tope sehemu ambapo lami imeshindwa wao wanareplace na tope!
Yaa nguo ya jinsi unaweka kilaka cha neti
 
Hii Nchi bara bara tulizonazo utadhani hatuna kitu chochote Nchi ipo kisiwani ila kila kukicha utasikia sijui tembo kapandishwa huku kule mamba mkubwa kaning'inizwa kwenye mti yaani taflani tu..
 
Ndiyo maana huwa sitamani kulipa kodi maana mijitu haitumii kodi vizuri
 
Mkuu hii sehemu hadi leo bado inasumbua kweli. Shimo moja linasababisha foleni kubwa miezi zaidi ya 6! Hii nchi sasa hivi ni bora liende tu
Ngoja tumalize kuichangia taifa star
Na kuwapanga wale wahamasishaji
Wawe vizuri kifedha

Ova
 
Back
Top Bottom