Trafiki Kigamboni wanalalamika uzembe wa Tanroad/Tarura Kigamboni unavyowapa kazi ya ziada

Kila siku hamisha mawaziri hata havieleweki
 
Ukiona watu wanahamishwa wizara unaweza fikiria tupo serious sana
 
Kila siku hamisha mawaziri hata havieleweki
Nilikuta jamaa wanacheza draft huku wanajadili hii badilibadili kama kete za draft nilicheka hadi wakanishangaa!
 
Huko Kigamboni bado bara bara ni ya vumbi tu kama huku kwetu Kijijini aisee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…