Trailer ya Coming To America 2: Rotimi ndani, msishangae Vanessa Mdee akawa na soundtrack yake

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Kuna kipindi niliona Vanessa anaimba nyimbo yake na wapiga violin ilikuwa kama orchestrals, nimeona bwana wake Rotimi atakuwepo kwenye movie hii ya coming to america 2,nikakumbuka kazi imefanyikia kwenye film studio ya Tyler perry Atlanta
Ikumbukwe Terry alishatumia hadi nyimbo ya maria salome,anyway nahisi tu,ila mzigo utakuwa mtamu sana huu Eddie murphy kama kawaida,Rotimi,teyana taylor,rick ross,wesley snipes,may be Morgan freeman.......

symphony orchestra ya vanessa hii hapa,may be inaweza kuwa mojawapo ya nyimbo zitakazotumika huko koneksheni kila mahala dunia hii
 
Na ya king kiba vipi haijasikika kwenye trailer....
nimeangalia nyimbo yake mpya jana nimebaki kumuonea huruma tu kwa kweli yaani kina marioo kina mabantu kina darasa wamejua washabiki wanahitaji nini yeye jamaa anaishi kwenye ulimwengu wake kwa kweli..kipindi kile mange kimambi ana hasira bashite na wcb alisaidia sana kupaisha seduce me kumbe issue ya bashite ilifanya hata wcb wakaonekana maadui wa wengi
sasa beef imepotezewa na yeye pia hajielewi tena bora akaombe msamaha kwa man water
 
Kuna kipindi niliona Vanessa anaimba nyimbo yake na wapiga violin ilikuwa kama orchestrals, nimeona bwana wake Rotimi atakuwepo kwenye movie hii ya coming to america 2,nikakumbuka kazi imefanyikia kwenye film studio ya Tyler perry Atlanta
Ikumbukwe Terry alishatumia hadi nyimbo ya maria salome,anyway nahisi tu,ila mzigo utakuwa mtamu sana huu Eddie murphy kama kawaida,Rotimi,teyana taylor,rick ross,wesley snipes,may be Morgan freeman.......

symphony orchestra ya vanessa hii hapa,may be inaweza kuwa mojawapo ya nyimbo zitakazotumika huko koneksheni kila mahala dunia hii

Nilikuwa nasikitika kuwa wataiharifu hii classic movie ila kwa hii trailer it seems itakuwa bonge la kitu natamani kuitazama
 
hapana itakuwa kali zaidi sababu kale kademu eddie murphy alichokaambia kabweke kama mbwa baba yake ni gereneral huko zamunda (wesley snipes)mtoto wa eddie anayemfata new york ni kajamaa flani nimekasahau ila ka famous kidogo ambaye mjomba wake ni tracy morgan,i think ni kali kuliko hata ya kwanza,rick ross yupo pia
Nina feelings kubwa sana kwamba tutasikia nyimbo ya vanessa kwenye hii filamu au hata appearance kama extra you never know
 
Kwanini una feeling hiyo, kisa anamdate rotimi? Wenzetu wako professional sana hilo la kumdate rotimi haiwezi kuwa sababu ya huo wimbo kuappear humo labda kama kuna sababu ya ziada, na vanessa alitoa story ya wimbo wenyewe sikuona connection yoyote na hiyo movie.

So huyo mtoto alizaa na nani akiwa USA, kale kademu si inabidi nako kawe kameenda age?
 
siyo lazima uwe ule wimbo,najua ulirekodiwa london lakini kwenye kazi hii lazima kuwe na nyimbo za kisasa za kiafrika sana siyo usishangae kumuona hata kwenye scene ya extra
inavyoonekana kwa mujibu a story itakuwa eddie mwaka 88 alipiga mchepuko kuna dada fulani comedian lilicheza ghostbusters halafu mjomba ni Tracy morgan(hahahaha)
em,bu check hii link
Kuhusu suala la Rotimi nakumbuka alishatupia picha wakiwa studio kwa Tyler perry kamsindikiza Rotimi,yule binti ana nyota ya kupendwa sana ni ka cute sana suala la uproffesional kuna watu washapata zali barabarani tu kupata konekeshbi haswa ma models kwa mfano didi stone au Jennifer lawrence actress
NARUDIA TENA USISHANGAE UKASIKIA KANYIMBO CHAKE CHA KISWAHILI HATA KAMA SEKUNDE KADHAA AU UAKAMUONA KAMA EXTRA KWENYE SCENE
 
siyo lazima uwe ule wimbo,najua ulirekodiwa london lakini kwenye kazi hii lazima kuwe na nyimbo za kisasa za kiafrika sana siyo usishangae kumuona hata kwenye scene ya extra
inavyoonekana kwa mujibu a story itakuwa eddie mwaka 88 alipiga mchepuko kuna dada fulani comedian lilicheza ghostbusters halafu mjomba ni Tracy morgan(hahahaha)
em,bu check hii link

Ile nyimbo imekaa kimbele zaidi siyo kiafrika. Na Lisa yumo kwenye movie.... Dah yule demu jamani alikuwa mzuri. Tracy Morgan chizi sana itakuwa na vituko ngoja wazee wa torrent tuisubiri
 
mkuu nimesema pia anazo nyingi za kiswahili siyo lazima ile halafu kwenye movie kama nyimbo siyo main soundtrack siyo lazima iwe yote hata sekunde kumi zinatosha
Ni hisia zangu tu,anything is possible
 
Yah sure anything is possible. Nania kadirect hii movie?
 
Anaitwa Graig Brewer..... unajua kaka niko na high spirit last week nili mu email screen writer mkubwa sana wa asia nishaona kazi zake anafanya sana reference za Tanzania,nikam pitch ka idea changu kanijibu na maelekezo fulani nimepata moyo sana
maelekezo nirekebishe na kutuma proof fulani then naweza kupata chochote ila cha muhimu hata credit ya STORY BY NJAAKALIHATARI hiyo kwangu ni poa zaidi
Anything is possible especially kwenye hii digital era
 
Ila yule dada aliingiza ile ya kwanza daahh alikuwa kisu balaaa

Nimecheka saivi Ni mama wa 50's huko ila bado Ni pisi Kali
Lisa(Sherrrry)atakuwepo kama sikosei sema kwa story ni kwamba yeye na eddie walizaa mtoto wa kike sasa king Jaffary yuko kitandani kwa uzee anatoa maagaizo kwamba mrithi lazima awe wa kiume inaonekana eddie akiwa new york alipiga mchepuko,ndipo kiini cha hii part 2
 
Graig Brewer unajua kaka niko na high spirit last week nili mu email screen writer mkubwa sana wa asia nishaona kazi zake anafanya sana reference za Tanzania,nikam pitch ka idea changu kanijibu na maelekezo fulani nimepata moyo sana
maelekezo nirekebishe na kutuma proof fulani then naweza kupata chochote ila cha muhimu hata credit ya STORY BY NJAAKALIHATARI hiyo kwangu ni poa zaidi
Anything is possible especially kwenye hii digital era
Hiyo ni kitu kikubwa, hakikisha hukosei man, yani mambo makubwa uwa yanaanza kiutani utani. Fanya kweli mkuu
 
Bro,nili m target sababu kazi zake tatu naona reference za Tanzania wanaongea hadi kiswahili nikasema hapahapa hata kama vyuma vimekaza nitaweka grease kwa style yangu mwenyewe,naona una interest na movie i swear nikifanikiwa ku pitch hiyo story you will be among the first ones to know.
 
Lisa(Sherrrry)atakuwepo kama sikosei sema kwa story ni kwamba yeye na eddie walizaa mtoto wa kike sasa king Jaffary yuko kitandani kwa uzee anatoa maagaizo kwamba mrithi lazima awe wa kiume inaonekana eddie akiwa new york alipiga mchepuko,ndipo kiini cha hii part 2
So kaenda kutafuta huyo wa kiume
 
Back
Top Bottom