Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
He is rich he is rich, the boy has got his own money, and baby when I say the boy has got his own money I mean the boy got his own money! This time you have hit the jackpot Lisa! Jamaa alinichekesha sana, hii ni movie naweza itazama miaka rudi miaka nenda pasipo kuichoka.Katika Coming to America 1, hakuna mtu hua ananifurahisha kama Baba yake Lisa 'Cleo Mcdowell', hasa ile scene akiwa nyumbani kwake baada ya kugundua Hakeem ni Prince, wakati anamsubiri Hakeem afike huku mchumba wake Lisa anagonga mlango, basi ile nenda rudi hadi akajikwaa, hua nacheka sana,
This weekend nitairudia sijui itakua ni mara yangu ya ngapi kuiangalia walai.
What kind of games do you play in Africa? Chase the monkeys