Trailer ya Coming To America 2: Rotimi ndani, msishangae Vanessa Mdee akawa na soundtrack yake

Trailer ya Coming To America 2: Rotimi ndani, msishangae Vanessa Mdee akawa na soundtrack yake

Kitu kikipendwa na wengi au kusifiwa na wengi basi napoteza interest nacho. Mshaniharibia excitement yangu..
pole sana mkuu sasa unaishije nchii hii MAANA WAZEE WA MITANO TENA KILA SIKU WANAMSIFIA MKUU,wachungaji,mashehe,magazeti,tv,wasanii wote wanamsifia mkuu wa nchi UNAISHIJE SASA JAMENI ?BADO UNA EXCITEMENT YA KUISHI NCHII HII?
 
Kuna kipindi niliona Vanessa anaimba nyimbo yake na wapiga violin ilikuwa kama orchestrals, nimeona bwana wake Rotimi atakuwepo kwenye movie hii ya coming to america 2,nikakumbuka kazi imefanyikia kwenye film studio ya Tyler perry Atlanta
Ikumbukwe Terry alishatumia hadi nyimbo ya maria salome,anyway nahisi tu,ila mzigo utakuwa mtamu sana huu Eddie murphy kama kawaida,Rotimi,teyana taylor,rick ross,wesley snipes,may be Morgan freeman.......

symphony orchestra ya vanessa hii hapa,may be inaweza kuwa mojawapo ya nyimbo zitakazotumika huko koneksheni kila mahala dunia hii

Tuache tutafute Ada za watoto Januari
 
Halafu kuna Mtu anamfananisha Vee na Zuchu
 
Katika Coming to America 1, hakuna mtu hua ananifurahisha kama Baba yake Lisa 'Cleo Mcdowell', hasa ile scene akiwa nyumbani kwake baada ya kugundua Hakeem ni Prince, wakati anamsubiri King afike huku mchumba wake Lisa anagonga mlango, basi ile nenda rudi hadi akajikwaa, hua nacheka sana,

This weekend nitairudia sijui itakua ni mara yangu ya ngapi kuiangalia walai.
 
Halafu kuna Mtu anamfananisha Vee na Zuchu
vanessa na Ruby ni class nyingine hapa bongo sema huyo Ruby sijui kalogwaaa??maana naamini hakuna msanii wa bongo mwenye punch kama yeye na akifanya transpose zake hadi vinyweleo vya mwili vinasisimka, she is the best at the same time an idiot.
 
Achaneni na mambo ya movie, mimi nilikuwa nasubiri Jux atoke mlangoni niingie ndani kabisa. Lakini sasa kuna brazameni kutoka Nigeria sijui wapi kabeba mzigo. Vannesa hatutendei haki kabisa sisi madereva wa daladala. We're the human beings too.
 
Back
Top Bottom