cmoney
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 3,570
- 5,508
Muvi Ilisha tengenezwa toka mwezi wa 2 huko sidhani kama vanesa alipewa shavu...lazima ujue wenzetu wanajali sanaa professionalism sio kwakua unagonga dem basi ndo umpe mashavu
hapana itakuwa kali zaidi sababu kale kademu eddie murphy alichokaambia kabweke kama mbwa baba yake ni gereneral huko zamunda (wesley snipes)mtoto wa eddie anayemfata new york ni kajamaa flani nimekasahau ila ka famous kidogo ambaye mjomba wake ni tracy morgan,i think ni kali kuliko hata ya kwanza,rick ross yupo pia
Nina feelings kubwa sana kwamba tutasikia nyimbo ya vanessa kwenye hii filamu au hata appearance kama extra you never know