Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
- Thread starter
- #41
every thing is old in that trainYa kwanza inaweza isifike lets say shape ila ya pili inaweza fika na sababu hiyo hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
every thing is old in that trainYa kwanza inaweza isifike lets say shape ila ya pili inaweza fika na sababu hiyo hiyo
Dunia inaenda mbele sisi hatuna haja ya kurudi japokua hatuna umemeMavitu yote hayo ni ya nini? unataka kuwahi ili iweje, taratibu taratibu ndiyo mpango
kunywa uji wa futari, ROMA haikujengwa siku mojaDunia inaenda mbele sisi hatuna haja ya kurudi japokua hatuna umeme
Kwamba we should build from the pastkunywa uji wa futari, ROMA haikujengwa siku moja
Sorry! What do you meanevery was old in that train
I meant everything is old in that train . The hybrid technology to the tech insideSorry! What do you mean
Old compared to those we have here or to those in developed countriesI meant everything is old in that train . The hybrid technology to the tech inside
Umecopy na kupaste kutoka internet! Toa kichwani, summarise watu watasoma na kukuelewa! Hiyo "nnya" uliyoiandika hakuna wa kuisoma Kiranga
Jibu zuri Sana. Elimu kotekote na kokoteMkuu,
Kama wewe umekimbia umande, usikatae wengine kupewa nafasi ya kujua mambo.
Kama hutaki kusoma, usisome.Lakini, usinyanyapae watu wanaoleta mambo ya kusoma hapa.
Unaweza kuona PDF halisomeki, kumbe wenzako ndiyo wamesomea Ph.D mambo hayo.
Nchi kubwa hii, usifikiri kila mtu yupo sawa na wa kijijini kwako.
Linafika wewe speed 200km/h sio kubwa kihivyo kwa aerodynamics hiyo... ilo treni la wenzetu uliloliweka hapo kwa aerodynamics yake linaweza kufika speed ya vindege vidogo.hili letu aliwezi fika 200 km /hr. ni laki zamani sana sana sana
aliwezi fika 😂😂. hivi unajua 200km/hr itakuwa very unstable.Linafika wewe speed 200km/h sio kubwa kihivyo kwa aerodynamics hiyo... ilo treni la wenzetu uliloliweka hapo kwa aerodynamics yake linaweza kufika speed ya vindege vidogo.
Hapana ... gari tu zinafika mpaka 180km/haliwezi fika 😂😂. hivi unajua 200km/hr itakuwa very unstable.
gari are aerodynamic tested. 😂😂 jamaa hadi hii shule huna let's not discuss this. ur thoughts gari ni engine kubwa, tu 😂😂Hapana ... gari tu zinafika mpaka 180km/h
Hiyo shape inafika iyo speed.
kale shule kwanza then uludiJapo umeweka pdf hapo ila hazijustify kuwa hiyo shape ya train yetu haifiki iyo speed.
We jamaa kilaza kweli nani kasema gari are not aerodynamic.gari are aerodynamic tested. 😂😂 jamaa hadi hii shule huna let's not discuss this. ur thoughts gari ni engine kubwa, tu 😂😂
We hauna shule yoyote yakunipa mimi icho kidesa chako nimekisoma hata dakika tatu sijamaliza nimekielewa chote tena mi nimecheki hizo eqns tu wala sijasoma maelezo.kale shule kwanza then uludi
Mkuu,sidhani kama mleta mada kaandika au ku paste yote haya ili kujionesha yeye ni msomi sana.Lengo lake ni kushea na sisi kizuri anachokijua na kile alichokiona au kukipata huko alikokipata.Umecopy na kupaste kutoka internet! Toa kichwani, summarise watu watasoma na kukuelewa! Hiyo "nnya" uliyoiandika hakuna wa kuisoma Kiranga
Hakuna anachojua huyu hamna injinia anakuja na conclusion kwa kupiga ramli mwambie approve mathematically kama hiyo train haifiki hiyo speed.Mkuu,sidhani kama mleta mada kaandika au ku paste yote haya ili kujionesha yeye ni msomi sana.Lengo lake ni kushea na sisi kizuri anachokijua na kile alichokiona au kukipata huko alikokipata.
Did you read the pdf they actually explain this .Hakuna anachojua huyu hamna injinia anakuja na conclusion kwa kupiga ramli mwambie approve mathematically kama hiyo train haifiki hiyo speed.