Train letu aerodynamic zinakataa kufika 200 KM/HR . According to Scientific Research of why the body should be streamline to archive speed and balance

Train letu aerodynamic zinakataa kufika 200 KM/HR . According to Scientific Research of why the body should be streamline to archive speed and balance

Umecopy na kupaste kutoka internet! Toa kichwani, summarise watu watasoma na kukuelewa! Hiyo "nnya" uliyoiandika hakuna wa kuisoma Kiranga
Mkuu,

Kama wewe umekimbia umande, usikatae wengine kupewa nafasi ya kujua mambo.

Kama hutaki kusoma, usisome.Lakini, usinyanyapae watu wanaoleta mambo ya kusoma hapa.

Unaweza kuona PDF halisomeki, kumbe wenzako ndiyo wamesomea Ph.D mambo hayo.

Nchi kubwa hii, usifikiri kila mtu yupo sawa na wa kijijini kwako.
Jibu zuri Sana. Elimu kotekote na kokote
 
hili letu aliwezi fika 200 km /hr. ni laki zamani sana sana sana
Linafika wewe speed 200km/h sio kubwa kihivyo kwa aerodynamics hiyo... ilo treni la wenzetu uliloliweka hapo kwa aerodynamics yake linaweza kufika speed ya vindege vidogo.
 
Linafika wewe speed 200km/h sio kubwa kihivyo kwa aerodynamics hiyo... ilo treni la wenzetu uliloliweka hapo kwa aerodynamics yake linaweza kufika speed ya vindege vidogo.
aliwezi fika 😂😂. hivi unajua 200km/hr itakuwa very unstable.
 
Japo umeweka pdf hapo ila hazijustify kuwa hiyo shape ya train yetu haifiki iyo speed.
 
Hapana ... gari tu zinafika mpaka 180km/h

Hiyo shape inafika iyo speed.
gari are aerodynamic tested. 😂😂 jamaa hadi hii shule huna let's not discuss this. ur thoughts gari ni engine kubwa, tu 😂😂
 
gari are aerodynamic tested. 😂😂 jamaa hadi hii shule huna let's not discuss this. ur thoughts gari ni engine kubwa, tu 😂😂
We jamaa kilaza kweli nani kasema gari are not aerodynamic.

Mi najaribu kufanya analysis ya haraka haraka kama gari kwa shape zake zile inafika mpaka 180km/h kwa nini hii train isifike 200km/h ?
 
kale shule kwanza then uludi
We hauna shule yoyote yakunipa mimi icho kidesa chako nimekisoma hata dakika tatu sijamaliza nimekielewa chote tena mi nimecheki hizo eqns tu wala sijasoma maelezo.

Wacha kudanganya watanzania mpuuzi wewe.
 
Umecopy na kupaste kutoka internet! Toa kichwani, summarise watu watasoma na kukuelewa! Hiyo "nnya" uliyoiandika hakuna wa kuisoma Kiranga
Mkuu,sidhani kama mleta mada kaandika au ku paste yote haya ili kujionesha yeye ni msomi sana.Lengo lake ni kushea na sisi kizuri anachokijua na kile alichokiona au kukipata huko alikokipata.
 
Prove it mathematically kama hiyo train haifiki hiyo speed au umeangalia kwa macho tu.

Unajua dinensions za hapo mbele zinazounda iyo shape?
Unajua air-resistance inayoipata iyo train mpaka useme haiwezi?

Umecalculate umeona haiwezi kuovercome air-resistance kuachieve iyo speed? Au umepiga ramli tu.

Put it mathematically, prove it.

Alafu na wewe unajiita injinia.
 
Mkuu,sidhani kama mleta mada kaandika au ku paste yote haya ili kujionesha yeye ni msomi sana.Lengo lake ni kushea na sisi kizuri anachokijua na kile alichokiona au kukipata huko alikokipata.
Hakuna anachojua huyu hamna injinia anakuja na conclusion kwa kupiga ramli mwambie approve mathematically kama hiyo train haifiki hiyo speed.
 
Hakuna anachojua huyu hamna injinia anakuja na conclusion kwa kupiga ramli mwambie approve mathematically kama hiyo train haifiki hiyo speed.
Did you read the pdf they actually explain this .
 
Back
Top Bottom