Mkuu mbona unachukia sana chama cha ccm..😀😀😀😀😎Tzn kupata miundombinu ya kisasa kama hiyo huko kwenu kenya labda kizazi cha ccm kife.Dar nzima barabara pekee za kisasa ni Sam Nujoma road na interchange ya kuingia daraja la kigamboni.Kwa jinsi wabongo tunavyoongea tungekuwa na vitu vikali kama vyenu wakenya mungekoma unfortunately penye miti hakuna wajenzi.
HHivi mkuu ile story ya commuter train na trams bado ipo ama ilikua tu siasa ya uk.If you look closely at the last pic,Upperhill skyline can be seen with views of KCB,BRITAM towers..on your left.
Pole sana mkuu.Dar ni mji mkubwa sana na una watu wengi karibu 2 times ya Nairobi but worse enough totally no city planning,kila mtu amejenga anavyojiskia unlike Nai now kwa hali hii kuja kupata miundombinu ya maana kama hiyo ni ngumu na expensive sana sijui viongozi wa ccm walikuwa wanawaza nini,kama walianzisha mamlaka ya kupanga mji Dodoma walishindwa nini Dar na miji mingine mikubwa Tzn? Deeply sad!