Trapped to a married man

[emoji23][emoji23][emoji23]kwahyo umalaya wangu unahusikaje na hii mada, Tena nimemshauri tu amchune huyo mwanaume akiweza amfilisi Ila asikubali naye ndoa asije akafia kwake.
Mimi msimamo wangu uko pale pale duniani tumekuja kula Raha na mema ya nchi hayo ya single mother mtu azae akitaka mwenyewe Mimi Nani wakumpangia.
 
we data embu jipe namba zako MUNGU HAPENDI WE KUKAA MPWEKE
 
Maskini jamani.
 
Wakati wengine wanatafuta waume wanaandika na matangazo wengine mko njia panda na ndoa 2
Ama kweli mwenye nacho ataongezewa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nimecheka had mbavu zinauma.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wadada bhan "Eti wote wawili unawapenda" hivi unawezaje kumpenda mume wa mtu tena amekwambia kabisa kuwa ameoa na ana familia alafu ww eti unasema umempenda, any way usikilize moyo kwa sababu unataka usikie kauli za kukufariji kwenye maamuzi yako but xometimes you have to think Critically maana huyo mume wa mtu akishakuzoea na kukuona wa kawaida ataongeza mwingine tena wa 3 na 4 n.k kwa hiyo mtakuwa tu wengi kwa hiyo usijali kuhusu hilo, na pia kumbuka mke wa huyo mwanaume huyo inabidi umwonee huruma kidogo maana ni mwanamke mwenzio [emoji846][emoji846][emoji846]
 
Wanaume wakiwa wanapata free papuchi wanaweza kukuhaidi hata bombadia ya Magufuli huku wakikusifia uongo na kweli na kumkandia mama mjengo
Yaaan mie huu uzi ndo najua mitazamo ya watu mbalimbali hasa wanaume, ubinafsi na u mimi umewajaa hao lol.
 
Siamini kwenye limbwata mkuu. Ninachoamini kuna wanawake wengine watamu sana na pia ni warembo. Ukikuta mtoto mrembo halafu ni mtamu pia sio mchoyo kukupatia basi hilo ndio limbwata unalolisema.
True... Very true
 
Dea Leo naona unampa kiupole, hebu mfokee bhana apate kuelewa, hilo povu lake apeleke huko. Khaaaaah [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Asie nacho atanyang'anywa kabisa[emoji23][emoji23][emoji23] Maisha hayako Fair
awagawie wahitaji
Ndo hapo yee anabania fursa wakati watu wanao hitaji wapo.
Aache uchoyo awagawie na wenzie, hizo baraka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu mtu wangu ana kazi nzuri tu lakini hajamfikia jamaa
Am not materialistic to be honest hii sio issue kubwa
Bado shida ni kwamba nawapenda watu wawili kwa wakati mmoja
Tengua hiyo kauli ya kupenda watu wawili kwa wakati m'moja, sababu hakuna kitu kama hicho. Na ukiona huo ndio mtazamo wako then u are not matured enough kuwa hata mpenzi wa mtu. Unachofanya sasa hivi ni kugawa kama biscuit
 
Dea Leo naona unampa kiupole, hebu mfokee bhana apate kuelewa, hilo povu lake apeleke huko. Khaaaaah [emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23] namhurumia tu bi shost atatapeliwa hebu awe ana msoma idd makengo apate case study za wenzake
 
Yaaan mie huu uzi ndo najua mitazamo ya watu mbalimbali hasa wanaume, ubinafsi na u mimi umewajaa hao lol.
Eti wao kujiridhisha sawa Ila wanawake hapana, wao wameumbiwa wanawake wengi loh, only in Africa
 
Who are we to judge you when we have done worse. But jiulize, for how long will you continue to be a secret? Would you wish your kids to be hidden?

Did your Mama raise you to be a second best forgone opportunity?

Forget about the bond you have with that married man. Turn a blind eye to his riches and properties.

Run!

You will look back in a couple of years to come and you will be proud of yourself.
 
Sawa Asante kwa Ushauri wako nitauweka katika maamuzi yangu
Wewe unaonekana unataka unachokifanya. It means intentionally unataka kuendelea kuwa na huyo mume wa mtu. So to be on the clear go ahead and be married to him.

Kuna msemo nautumia, "when an ignorant person comes for an advise, give him wisdom because they need it, but when a fool comes for an advise, give him/her a fool's advise because they want it"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…