Trapped to a married man

Una uhakika wanatembea na waume za watu???
 
Maneno ya kuambiwa na wewe ujichunguze sio kuingizwa kundi moja na watu usiorelate nao.

Sio kweli kuwa wanaume wote wanatamaa na wanawake na kutaka kuwa na multiple partners katika wakati m'moja.

Wapo wanaume ambao kudeal na mwanamke zaidi ya m'moja kwao ni kero. Yeye anataka utulivu, ajue tu ana mke, wanaelewana basi.... Hataki kelele zingine.

Muda mwingine kideal na wanawake wengi ni frustration especially at maturity age. Sasa unadhani mwanaume wa umri wa kuanzia miaka 35 anahangaika na wanawake wengi anapata nao wapi huo muda badala ya kudeal na mwanamke m'moja afanye nae maisha?!

Huo muda wa kuwa demanded na watu tofauti anaanza utoa wapi?!
 
Waume za watu sio wakuamini Yani hapo anafata tu papuchi mkewe Yuko busy na ulezi, ka msaliti aliyemzalia yeye Ni Nani jomoni anafikiri papuchi yake tu ndio inajua kufinyia eeeh, awe makini asije kuwa single mother
Hahaaa..papuchi kufinyia....loh
 
Huo ndo ukweli....aje apa mwanaume yoyote apinge huu ukweli.

Sasa wewe jifariji tuuh...
Nimeshafika..... Huo unaosema sio ukweli.....

Mimi hapa ni a living example. Kama haujui njoo nikufunze...... Mwanaume kuwa na tamaa ya wanawake wengi ni swala la kusikiliza na kufuata mihemko na tamaa za kibinadamu......

Unaweza kuridhika na mwanamke wako, na kipindi akianza kukukifu kuna vitu ukafanya nae mvuto ukarudi sawa.

Na nikwambie tu jambo, vinavyo kuvutia ukiwa katika teenage years, ni tofauti na 20's age na 30's kuendelea....

As una age na kumature and so will the perception yako juu ya mahusiano, wanawake na mapenzi kwa ujumla.

So usifikirie akili hizi za kubalehe utazitumia kukiwa unaingia utu uzima na majukumu ya familia.....
 
Yana over 18 upo chuo unatembea na mme wa mtu unasema cozi ulikuwa mdogo hujielewi? Endelea kutokujielewa
 
Najaribu vaa uhusika wa mshkaji aliye single muda anaowekeza,vipesa anavyokupa na mengine mengi anayokufanyia "why don't you tell him the truth" ya kwamba haumpendi na una mtu mwingine ili mwamba asonge mbele na mishe zake, aisee mapenzi yanauma sana ukikutana na mtu mwenye ndimi mbili.
 
Reactions: Cyb
We nae acha siasa zako za Beijing, aliyekwambia wanawake wanaridhika ni nani?!

Wewe hapa umetazama maswala ya kitandani tu kama mzani wa kupima uvumilivu wa mwanaume na mwanamke, kwasababu aidha kwa kujua au bila kujua unasahau kuwa mgegedo ndio hitaji muhimu sana la mwanaume kwa mwanamke mwanamke yeye huwa anahitaji but kwa kipindi kifupi na ni nadra sana.

Ila ninyi pia mna maeneo yenu ya usumbufu ambayo sisi wanaume hatuonagi muhimu wake wala sababu ya ninyi kuhangaika nayo....

Na ni vitu vidogo vidogo ila vingi kweli kweli kiasi kwamba ukivijumlisha mtu m'moja hawezi kumpatia mwanaume ndio maana wanafika hatua wanakwenda tafuta utulivu nje.

So unapoongelea wanawake na wanaume jihakikishe kwanza kuwa una ufahamu wa kutosha juu ya tofauti za kimahitaji kwa mwanaume na mwanamke ndani ya uhusiano.
 
True... Anawabania tu wadada wa watu wanaosugua goti kanisani huko....
 
Kama anaweza kuacha mke wake akuoe wewe hivyo hivyo hata wewe utakuja kuachwa utashuhudia kama mwenzio atakavyo shuhudia sasahivi.

May be tuseme amewahi kuoa mtu asie mpenda lakini unadhani wewe unapendwa hutoachwa ?

Nimemaliza.
 
Ndoa kweli is overrated,
Sasa kama mlioko kwenye ndoa mnadanga this much hadi mnashindwa kujinasua why should I get married na kuwa locked na hiyo so called ndoa ilihali nataka tena nje?

Ifikie point kama umeoa/kuolewa baki huko huko hizi mambo za kujifanya mnatoka nje ya hizo ndoa ndio yanaleta hiki kigugumizi.

Kama umependa mume wa mtu endelea kudanga nae tu ila one day kitanuka especially jahazi likianza kuzama upande wa pili. Battle lake litakua sio dogo kama unavyofikiria. Jiandae kung’oleawa kucha, kulogwa nk.

Kama unataka ndoa just go to that single boy na uanze familia.

I am pretty sure hata ukishirikisha familia yako kuhusu hili watakuona fala na hawatakua na wewe katika kuolewa kisiri na mume wa mtu unless imani zenu ziwe zinaruhusu.

BTW Pesa na ukuni ni hatari kwa ubongo wa wadada na ukivipata sehemu moja lazima uchanganyikiwe kama bibie huyu. Imagine hajui la kufanya kwa issue kama hii.
 
Mwanakulifind mwanakuliget.... Ipo siku utalewa urefu wa shimo unalong'ang'ania kuingia....
 
True... Umemshauri vizuri sana. Ulichokisema ndicho anatakiwa fanya. Watoto wakike wanakuwa wazuri sana kushauriana upuuzi halafu mwenzao anapokwama hawapo tena kumsaidia wanabakia pembeni wakimng'ong'a na kumcheka huku wakilaumu mwanaume kuwa ndie msababishaji wa matatizo.
 
Hahaha ahsante sana mwanamume wewe.
Mimi hapa nimeshafika mbona haunioni.... Au hadi nikulambe kofi ndio ujue nimefika.
 
Jamani wewe kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…