OMWAMI2020
Member
- May 28, 2019
- 66
- 93
Ivi km wewe ndo ungekuwa mke wake ingekuwaje ?Naomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi
Najua humu kuna watu tunajuana nao personally kiundani sana and am sorry if my confession will dissapoint you in anyway.
Back to my story 2015 nilikutana na huyu kaka tukawa marafiki na baadae tukawa wapenzi lakini aliniambia ameoa,kipindi hicho I was so young and naive nilikuwa chuo kwakweli nakubali nilikuwa sijielewi,mahusiano yetu tuliendelea kwa miaka miwili mpaka baadae tulipoachana kwa sababu fulani.
Kipindi tulipo achana hakuacha kunitafuta meseji za hapa na pale hapo hatukuwa tukionana.Kwakweli sijawahi kutoka na mume wa mtu zaidi ya huyu na nilijisemea sitorudia tena kwaio nilisimama kwenye huo msimamo
Fast foward this year tulionana alikuja kikazi mji niliopo tukaanza kuwa karibu tena na kwa sasa niseme ni wapenzi tena.
Kitu kinachofanya nije hapa kuomba ushauri ni kwamba huyu bwana anataka kunioa,we have this connection ni ngumu sana kuelezea jamani hiki kitu kimeniacha njia panda,anataka tuoane na nimzalie mtoto,anataka kuja nyumbani kujitambulisha afate process zote.Plan yake tufunge ndoa kisiri mimi yeye na watu wa karibu kama familia
The future is promising amejicomit kuhusu mambo mengi na hili linazidi kuniogopesha
Kitu cha ajabu nimeanza kulifikiria hili jambo in a serious way maana sikuwa na mpango nae lakini huku tunapoelekea mambo yanazidi kuwa magumu.Tumepanga apartment huku tukianza ujenzi wa nyumba,na ana plan kuhamia mji niliopo na kuiacha familia yake mji mwingine
Meanwhile upande wa pili kuna kaka ambae hajaoa anataka kuja kutoa mahali,well paying job we have a connection lakini hajafika level za yule mume wa mtu
To be honest wote wawili nawapenda,nimeshindwa kujigawa au kufanya maamuzi
Najiuliza hivi mume wa mtu anaweza kupenda tena nje kama hivi ?Wanaume mlio oa natamani nipate comment zenu pia kwa experience ya haya mambo
Am still young in my late 20’s ambitious and the future is still so promising
Ukipata nafasi ya kunishauri ungenishauri nini?
Unaweza kuniita majina yote lakini ni maoni yako nitayapokea
PS: Huyu mume wa mtu sijatumia nguvu yoyote juu yake ni maamuzi yake ya hiari na akili zake timamu
Je Huyo mwanaume ndo aliyonayo ni halali na ya dini au serikali ?
Kimsingi km ndoa aliyonayo ni ya Kikristo basi ujue hiyo ndo mnayotaka kufunga itakuwa batili .
Mwisho , katika maisha sio kila unachokitaka au kukipenda lzm ukipate n kuwa nacho , vingine vizuri lkn havidumu n kama haitoshi vingine unaweza kuvipata lkn vikakupatia matatizo makubwa .