Trapped to a married man

Trapped to a married man

Okay nilidhani ni yaleeeeee mambo yetu matamu ya 6 kwa 6 labda huyo mume wa mtu shughuli zake si za mchezo mchezo.

Fuata vile moyo wako unataka pamoja na kuwapenda wote wawili lakini ni lazima kuna mmoja unampenda zaidi na sababu unazijua.
Ila ukishaolewa usimfanye mwingine awe MCHEPUKO 😜😜

Huyu mtu wangu ana kazi nzuri tu lakini hajamfikia jamaa
Am not materialistic to be honest hii sio issue kubwa
Bado shida ni kwamba nawapenda watu wawili kwa wakati mmoja
 
Aisee unacho jibu hapa ni kama huyu jamaa,a very confusing situation to us christians nimeanza kuwaelewa waislam kwa hili
Utakomaa as umri wako unavyoendelea kusogea. Utapevuka zaidi. Utagundua huu upumbavu unaoung'ang'ania kwakusema unampenda sana mume wa mtu its just a matter of maturity.

Kuwa matured ni sambamba na kusema hapana kwa jambo lisilo sawa(lisilo sahihi) hatakama linakufanya ujisikie vizuri.

Kweli adui wa mwanamke ni mwanamke.
Elewa kuna mwanamke mwenzio huko atatelekezwa na watoto. Elewa kuna watoto huko watakua kwenye risk yakua watoto wa mtaani kisa wewe umeshindwa kuzuia tamaa zako ukakubali kuiiba furaha ya familia nyingine.

Please I beg you, mshauri airudie familia yake.
Atakuzalisha, atakuzoea, vagina yako itatanuka, hautakua na ladha kama uliyonayo sasa. Ataanza kukuona kama anavyomuona mke wake sasahivi.

Nimejitahidi kuandika kwa lugha yakawaida, vinginevyo huwa nina maneno makali sana kwenye upuuzi kama huu
 
Natabiri utakuwa na umbo flani amazing, ngozi chocolate color flan hivi, matako malaini kama sufi, mtundu kitandani. Hiyo ndio sababu jamaa anataka kukuoa.

Hapo kwenye umbo na ngozi naweza kukujibu ila mengine anayajua mwenyewe muhusika [emoji28]
 
Olewa na huyo kijana single mwenzako, waume za watu wakikupenda wana ahadi kibao tena nzuri sana ila trust me mwisho wake hua sio mzuri na anakudanganya hawezi kutelekeza familia yake kwa ajili yako.

Sawa Asante kwa Ushauri wako nitauweka katika maamuzi yangu
 
Mwambie huyo mume wa mtu, asikubali kukuoa kiri siri, akae na mkewe wayajenge ufunge nae ndoa ya wazi, then uwe mke halali..mjenge one big family..!!

Ila tuu omba sana asipate mwingine, maana nawewe utapandishwa cheo kuwa mke mkubwa!!
Kumbuka tu hakuna mapenzi matamu kama ya mbali, na ya wizi!!! So try to figure OUT miaka 10 mbele kama bado utakuwa favourite wife kwa huyo mume wenu...au la!!
 
Okay nilidhani ni yaleeeeee mambo yetu matamu ya 6 kwa 6 labda huyo mume wa mtu shughuli zake si za mchezo mchezo.

Fuata vile moyo wako unataka pamoja na kuwapenda wote wawili lakini ni lazima kuna mmoja unampenda zaidi na sababu unazijua.
Ila ukishaolewa usimfanye mwingine awe MCHEPUKO [emoji12][emoji12]

I hope I make the best decision
Life is too short
 
Utakomaa as umri wako unavyoendelea kusogea. Utapevuka zaidi. Utagundua huu upumbavu unaoung'ang'ania kwakusema unampenda sana mume wa its just a matter of maturity.

Kuwa matured ni sambamba na kusema hapana kwa jambo lisilo sawa(lisilo sahihi) hatakama linakufanya ujisikie vizuri.

Kweli adui wa mwanamke ni mwanamke.
Elewa kuna mwanamke mwenzio huko atatelekezwa na watoto. Elewa kuna watoto huko watakua kwenye risk yakua watoto wa mtaani kisa wewe umeshindwa kuzuia tamaa zako ukakubali kuiiba furaha ya familia nyingine.

Please I beg you, mshauri, airudie familia yake.
Atakuzalisha, atakuzoea, vagina yako itatanuka, hautakua na ladha kama uliyonayo sasa. Ataanza kukuona kama anavyomuona mke wake sasahivi.

Nimejitahidi kuandika kwa lugha yakawaida, ila nimejisikia kukutukana matusi yote

Duh nitukane tu mkuu pengine ndio dawa itanirudisha kwenye akili yangu
Siwezi kukubali aitelekeze familia yake
I know I sound evil ila sina ubaya na mke mkubwa I respect her na natamani awe na amani hio kila siku
However naupokea ushauri wako nitaufanyia kazi
 
Hatelekezi familia anaendelea kuhudumia familia kama kawaida
Na nimejiwekea boundaries siwezi kumuingilia bi mkubwa
As much as I want to feel guilty about this lakini pia moyo wangu una haki pia
Nimeandika nikafuta, nikaandika nikafuta tena.. ngoja nikuache tuu.. nisije chuma dhambi buree.

~Eti lakini pia moyo wangu una hakii.. ~

Binadamu hajakomaa mpaka akili yake (being rational) itakapoizidi tamaa.. Wewe mtoa mada tamaa yako imezidi rationality ya akili yako.
 
Mwambie huyo mume wa mtu, asikubali kukuoa kiri siri, akae na mkewe wayajenge ufunge nae ndoa ya wazi, then uwe mke halali..mjenge one big family..!!

Ila tuu omba sana asipate mwingine, maana nawewe utapandishwa cheo kuwa mke mkubwa!!
Kumbuka tu hakuna mapenzi matamu kama ya mbali, na ya wizi!!! So try to figure OUT miaka 10 mbele kama bado utakuwa favourite wife kwa huyo mume wenu...au la!!

Nimelitafakari hilo kwamba how you get him is how you loose him
 
Kaa chini tafakari kesho yako,kama kweli una upendo wa kweli kwa huyo ambaye hajaoa,kubaliana naye muanzishe maisha ya wazi na kweli ( ndoa).Huyo mume wa mtu achana naye,kwa kauli ya "tufunge ndoa ya siri" hapo ni mtego wa wewe kuwa wa sirini na kukosa uhuru binafsi juu yake kwenye mahusiano.Jaribu kuwaza,ungekuwa mke wa jamaa then kaoa mke wa siri ungejisikia vp? Mhurumie mwanamke mwenzio,hurumia watoto wake,usiongozwe na hisia( mapenz au pesa za jamaa).Angalia kesho yako!!
 
Mimi mwenyewe mkiristo ila ndio hivyo nafsi yangu ndio imefikia maamuzi ya kuoa mke wa pili. Nimemwambia tutafunga ndoa hata kwa kujificha, kama ndoa haitawezekana basi tuishi bila ndoa. Cheti cha ndoa ni makaratasi tu wala hayachangii chochote kwenye kupendana.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Isijekuwa wewe ndio huyo mume wa mtu anayeongelea mleta uzi
 
Utakomaa as umri wako unavyoendelea kusogea. Utapevuka zaidi. Utagundua huu upumbavu unaoung'ang'ania kwakusema unampenda sana mume wa mtu its just a matter of maturity.

Kuwa matured ni sambamba na kusema hapana kwa jambo lisilo sawa(lisilo sahihi) hatakama linakufanya ujisikie vizuri.

Kweli adui wa mwanamke ni mwanamke.
Elewa kuna mwanamke mwenzio huko atatelekezwa na watoto. Elewa kuna watoto huko watakua kwenye risk yakua watoto wa mtaani kisa wewe umeshindwa kuzuia tamaa zako ukakubali kuiiba furaha ya familia nyingine.

Please I beg you, mshauri, airudie familia yake.
Atakuzalisha, atakuzoea, vagina yako itatanuka, hautakua na ladha kama uliyonayo sasa. Ataanza kukuona kama anavyomuona mke wake sasahivi.

Nimejitahidi kuandika kwa lugha yakawaida, ila nimejisikia kukutukana matusi yote
Naked truth asijione yeye Ni mrembo jamaa anamdanganyia ndoa amzalishe kufidia aluvonpatia, wanaume waliooa hutoka nje kwa starehe na huoa Hadi ndoa fake.
 
Back
Top Bottom