Maya Angelou
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 1,086
- 2,576
- Thread starter
-
- #501
Yaani hapa ni kutwanga maji kwenye kinu, kabla ya kuleta uzi alishafanya maamuzi, hapa alikuwa anahitaji apate watu wambariki uamuzi wake, kama hawa wachache wafanyavyo
Mami si tulishakubakiana uolewe na single huyo mume wa mtu awe mchepuko au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu kwanza ni pm nikushauri jambo maana hapa nashindwa kabisa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]sijui kwanini nimetokea kukupenda bure
Huwezi amini nipo tofauti na unachokisema na kukifikiria
Although I sound naive and lost,ila nina akili zangu timamu tu na nikivuka hiki kistage nitakuja na update
Msichoke kunishauri
Ila waume za watu wakiwa wanamtaka kumchanganya mwanamke wana mbinu sana.Hahaaa sio rahisi kwa huyo dada kumuacha ngosha wake... humu anawa zoom tu watu wanavyomwaga povu. Maana naona kila anavyojibu kuna namna anatafuta njia ya ku justify kuolewa kwa siri kwahiyo sidhani kama kuna litakaloongelewa humu limfanye abadili maamuzi yake.
Hahaaa Tena Vita vya tatu vya duniaKuolewa au kuwa na mwanaume ambae kwenye familia ni bread winner tayari jua una vita na ukoo.
Huyu Sam ana allergy na Mimi kila Uzi huyo na Mimi, I think ana Ni admirerNaona una beef na huyo mdau, kakuandama huu uzi lol,
[emoji120][emoji123] mkuu!Hiii comment bora ya uzi kabisaaah.
Nimeupenda msemo huoUsiipe nafsi yako kila inachokihitaji, itauponza mwili wako. iambie nafsi yako kuwa isukume damu na si vingine.
Teh teh, asante family friend. Ilà twende bila yeye[emoji39]Family friend leo nakupa offer tukatembee.
Si kwa madini haya.
I love u too sis darling...Brod darling, mimi nakupenda sana.
Sijawahi yaelewa mapenzi haki ya Nani tena...Mke wangu nampenda mno na sipo tayari kumpoteza ila nimeshaamua liwalo na liwe. Yule mdada siwezi kumuacha aliwe na wahuni wengine maana jinsi ninavyomfeel siwezi hata kuelezea. Tukiwa chumbani huwa napata raha isiyokifani hivyo nimeshaamua bora nimuoe tu kuliko kumwacha akaolewa na mwanaume mwingine nikaishi a miserable life for the rest of life. Wife will have to just understand. I love her (my wife) but I'm also deeply in love with another woman.
Poleeeeh sana dea lol.Huyu Sam ana allergy na Mimi kila Uzi huyo na Mimi, I think ana Ni admirer
Ninachoshukuru Mungu mume wa mtu hajawahi kunizidi akili kabisaaaa...yani mimi mtu hata awe romantic vipi nikishajua ana mke ndio basi tena....zile stomach butterflies zinaisha nabaki kumuona kama yule sanamu aliyeshika bunduki[emoji1751]Ila waume za watu wakiwa wanamtaka kumchanganya mwanamke wana mbinu sana.
Shenzi zao.
Unaweza kukataa vijana potential kwa ujinga wao.
Aliyekwambia wewe unaweza mshape tabia mtoto wa kiume ni nani....?! Wewe kazi yako ni comforter na caretaker wa familia basi..... Hayo mengine ni kiherehere, ukikua utaelewa. Baba ndie anamdesign mtoto tabia.... Ndio maana watoto kudeka kwa baba ni tofauti na deka ya kwa mama.Hahaaaa njoo ipake roho yangu rangi ili iwe nzuri mkuu, by the way mwanangu wa kiume nitamlea kwa misingi yote ya utu, heshima na adabu ya kujali watu wote, Yani awe na standard zote za mtu aliyestaarabika
We nawewe mambo ya kuolewa au kuoana yametoka wapi?!Are you married? (sorry if you are offended, didn't mean to)
[emoji3]We nawewe mambo ya kuolewa au kuoana yametoka wapi?!
. Mmmmmmmmhm mmmmmmmhmnHuyu Sam ana allergy na Mimi kila Uzi huyo na Mimi, I think ana Ni admirer
[emoji3]. Mmmmmmmmhm mmmmmmmhmn
Weirdo...... This ain't your business..... Buzz offNaona una beef na huyo mdau, kakuandama huu uzi lol,