Trapped to a married man

Trapped to a married man

Yaani hapa ni kutwanga maji kwenye kinu, kabla ya kuleta uzi alishafanya maamuzi, hapa alikuwa anahitaji apate watu wambariki uamuzi wake, kama hawa wachache wafanyavyo

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]sijui kwanini nimetokea kukupenda bure
Huwezi amini nipo tofauti na unachokisema na kukifikiria
Although I sound naive and lost,ila nina akili zangu timamu tu na nikivuka hiki kistage nitakuja na update
Msichoke kunishauri
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]sijui kwanini nimetokea kukupenda bure
Huwezi amini nipo tofauti na unachokisema na kukifikiria
Although I sound naive and lost,ila nina akili zangu timamu tu na nikivuka hiki kistage nitakuja na update
Msichoke kunishauri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu kwanza ni pm nikushauri jambo maana hapa nashindwa kabisa

Nakupenda pia, maana nina uhakika kabisa sijawahi kucomment sana kwenye uzi hapa Jf kama huu wako
 
Hahaaa sio rahisi kwa huyo dada kumuacha ngosha wake... humu anawa zoom tu watu wanavyomwaga povu. Maana naona kila anavyojibu kuna namna anatafuta njia ya ku justify kuolewa kwa siri kwahiyo sidhani kama kuna litakaloongelewa humu limfanye abadili maamuzi yake.
Ila waume za watu wakiwa wanamtaka kumchanganya mwanamke wana mbinu sana.
Shenzi zao.

Unaweza kukataa vijana potential kwa ujinga wao.
 
Mambo ya walawi : Mlango 20

10 Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.



Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 
Usiipe nafsi yako kila inachokihitaji, itauponza mwili wako. iambie nafsi yako kuwa isukume damu na si vingine.
Nimeupenda msemo huo
Lakini cha kuongeza binti una bahati kuwa na machaguo 2 kwa wakat 1 ukicheza mistake hapo utalia mpaka siku ya mwisho kati ya hao 2 wewe mwenyewe unamjua ni nani mmeo ila naona unajilazimisha kufa
 
Mke wangu nampenda mno na sipo tayari kumpoteza ila nimeshaamua liwalo na liwe. Yule mdada siwezi kumuacha aliwe na wahuni wengine maana jinsi ninavyomfeel siwezi hata kuelezea. Tukiwa chumbani huwa napata raha isiyokifani hivyo nimeshaamua bora nimuoe tu kuliko kumwacha akaolewa na mwanaume mwingine nikaishi a miserable life for the rest of life. Wife will have to just understand. I love her (my wife) but I'm also deeply in love with another woman.
Sijawahi yaelewa mapenzi haki ya Nani tena...
 
Ila waume za watu wakiwa wanamtaka kumchanganya mwanamke wana mbinu sana.
Shenzi zao.

Unaweza kukataa vijana potential kwa ujinga wao.
Ninachoshukuru Mungu mume wa mtu hajawahi kunizidi akili kabisaaaa...yani mimi mtu hata awe romantic vipi nikishajua ana mke ndio basi tena....zile stomach butterflies zinaisha nabaki kumuona kama yule sanamu aliyeshika bunduki[emoji1751]
 
Hahaaaa njoo ipake roho yangu rangi ili iwe nzuri mkuu, by the way mwanangu wa kiume nitamlea kwa misingi yote ya utu, heshima na adabu ya kujali watu wote, Yani awe na standard zote za mtu aliyestaarabika
Aliyekwambia wewe unaweza mshape tabia mtoto wa kiume ni nani....?! Wewe kazi yako ni comforter na caretaker wa familia basi..... Hayo mengine ni kiherehere, ukikua utaelewa. Baba ndie anamdesign mtoto tabia.... Ndio maana watoto kudeka kwa baba ni tofauti na deka ya kwa mama.

Kwa baba wanadeka kwa akili na wanapeleka mambo ya msingi tu, kwa mama ndio huwa wanaleta upuuzi wa kuharibikiwa tabia.
 
Back
Top Bottom