Trapped to a married man

Ivi km wewe ndo ungekuwa mke wake ingekuwaje ?
Je Huyo mwanaume ndo aliyonayo ni halali na ya dini au serikali ?
Kimsingi km ndoa aliyonayo ni ya Kikristo basi ujue hiyo ndo mnayotaka kufunga itakuwa batili .
Mwisho , katika maisha sio kila unachokitaka au kukipenda lzm ukipate n kuwa nacho , vingine vizuri lkn havidumu n kama haitoshi vingine unaweza kuvipata lkn vikakupatia matatizo makubwa .
 
Inawezekana ndio au hapana nimeshindwa kuifafanua situation hii vizuri
Lakini naomba tu nikwambie nipo wakati mgumu
Umeshawahi kupenda watu wawili kwa wakati mmoja?
Hamna kítu kama hicho,mmoja unampenda real,wa pili unapenda sababu ya pochi kisa anajua kutunza.

Namuona single mother mtarajiwa akisha kuzalisha anarudi kwa mkewe,mnaanza kugombana kuhusu hela ya malezi ya mtoto.
 
Kakugonga limbwata mkuu. Pole
 
Ni makaratasi kweli lakini hayo makaratasi yanatumika wewe ukishadanja.
 
Hongera kujipatia zoba mate, waeleze siri wenzio umempa nini huyo jamaa hadi kawa zoba wako.
maana kutelekeza familia kisa kimada sio kazi ndogo..NB. Don't be proud of that

Hatelekezi familia anaendelea kuhudumia familia kama kawaida
Na nimejiwekea boundaries siwezi kumuingilia bi mkubwa
As much as I want to feel guilty about this lakini pia moyo wangu una haki pia
 
Siamini kwenye limbwata mkuu. Ninachoamini kuna wanawake wengine watamu sana na pia ni warembo. Ukikuta mtoto mrembo halafu ni mtamu pia sio mchoyo kukupatia basi hilo ndio limbwata unalolisema.

Hata huyu ni msukuma[emoji848]umenifanya nitafakari mkuu
 
Siamini kwenye limbwata mkuu. Ninachoamini kuna wanawake wengine watamu sana na pia ni warembo. Ukikuta mtoto mrembo halafu ni mtamu pia sio mchoyo kukupatia basi hilo ndio limbwata unalolisema.

Mimi huyu sijampa chochote sijamfanyia lolote la ajabu kama wanaume wengine namtreat sawa na wengine
 
Vtoto vyenye 20's huwa na ngoz fulan laini hata ukiwa umelala nako unajihis tofaut,afu pia vna mashavu laini

Lol[emoji28][emoji28] hujakutana na 20’s walio zeeka?
 
Hebu fafanua hapo kwenye rangi.

Huyu mtu wangu ana kazi nzuri tu lakini hajamfikia jamaa
Am not materialistic to be honest hii sio issue kubwa
Bado shida ni kwamba nawapenda watu wawili kwa wakati mmoja
 
Olewa na huyo kijana single mwenzako, waume za watu wakikupenda wana ahadi kibao tena nzuri sana ila trust me mwisho wake hua sio mzuri na anakudanganya hawezi kutelekeza familia yake kwa ajili yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…