Trapped to a married man


Sawa Asante naelewa unachosema ila ujue sio rahisi ingekuwa rahisi nisinge kuja hapa
Nitachukua ushauri wako worry not
 
Karma is a "bit..." Vaa viatu vya mwenye Mmewe, waza japo it's True mbeleni nawe utapitia same pain, ukiona utamudu maumivu basi "aluta continua" Kumbuka ni kifo tuu Ndio kita watenganisha "Israel in action you"
 

Kwanza kabisa, mimi ni mume wa mtu.

Kuna nukta sijaelewa, kama ukijibu swali hili, nitakupa ushauri mzuri sana. Huyo mdau ana maanisha anataka akuoe mke wa pili bila shaka au ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Isijekuwa wewe ndio huyo mume wa mtu anayeongelea mleta uzi

Sio huyu nina uhakika
Maana msukuma wangu yupo hapa wala hayupo jf namchungulia
Ni wasukuma wawili tofauti sema wana story sawa[emoji28]
 
Waume za watu hawaaminiki aisee nakwambia from my experience,wewe mchune tu na hyo kufunga ndoa kisiri Ni garasha, be careful ukizaa tu atarudi kwa mumewe. Mume wa mtu wakudanga naye tu

Ni kweli nalichukua hilo kichwani nisije kujuta badae
 
Naked truth asijione yeye Ni mrembo jamaa anamdanganyia ndoa amzalishe kufidia aluvonpatia, wanaume waliooa hutoka nje kwa starehe na huoa Hadi ndoa fake.
Nisaidie kumwambia, mimi naona hanielewi kabisa
 
Kwanza kabisa, mimi ni mume wa mtu.

Kuna nukta sijaelewa, kama ukijibu swali hili, nitakupa ushauri mzuri sana. Huyo mdau ana maanisha abataka akuoe mke wa pili bila shaka au ?

Upo sahihi ulivyo elewa
 
Ni kweli nalichukua hilo kichwani nisije kujuta badae
Achana naye Tena anakudaganya mfunge ndoa kisiri pia kajua una mwanaume serious ndio anazidisha mapenzi, na usifanye vitu kwa majina yake wadada wengine wametapeliwa so be careful my friend, waume za watu wote wako hivo, hata wakimaliza tendo hujua, wanaume hufikiria tofauti na sisi so wewe wakutolea nyege tu.
 
Upo sahihi ulivyo elewa
Kama hivyo ndivyo, bibie kubali kuolewa, sababu na wewe unakuwa mke halali ila unakuwa wa pili tu. Moja, na mbili zote ni namba tu ili kubainisha na kujua nani kaanza nani kafata.

Olewa bibie..... ni hayo tu.
 
Ndo huyo huyo bado na mkewe anapita humu
Ndoa ya kisiri hahahah

Halafu kuna jamaa single nae katangaza ndoa, bado mtu anakosa maamuzi kweli!!!???

Anadhani huyo mume wa mtu hayo mafanikio kazaliwa nayo, amehangaikia huku mkewe akiwa anamsaidia kumpikia, kumfulia, kumuandalia sehemu nzuri ya kulala, kumshauri pia.

Ni heri amtengeneze mumewe.

Hali nzuri ya kiuchumi ya mume wa mtu haihusiani na hali ya maisha yake na huyo mume wa mtu, pesa ni zake sio za wote.

Na waume za watu wanavuta tu mtu ili wampate, akishazaa hakuna rangi hataiona, atamzoea na hapo mwanaume atakumbuka jinsi alivyosota na mkewe na atarudi kutulia na mkewe

Kijana single anakuwa kashaoa.

Single mom anaongezeka mtaani.
 
Nisaidie kumwambia, mimi naona hanielewi kabisa
Hawajui wanaume vizuri hapo ukute mwanaume kashikwa na mchepuko mwingine kagombana na mkewe ndo kamkumbuka, na ukute kajua ana mwanaume serious kajirudisha, in short mwanaume mwenye mke ni wakula Raha basi hyo ya kujifanya nakupenda Ni uongo wao tu. Kwanza mwanamke kumpenda mwanaume ni kupoteza mda Hawa viumbe hawaridhiki
 
Una mpotosha mwenzako.
 
Reactions: Cyb
Sio huyu nina uhakika
Maana msukuma wangu yupo hapa wala hayupo jf namchungulia
Ni wasukuma wawili tofauti sema wana story sawa[emoji28]
Mh...Basi mama huyo msukuma "wenu" hamtakuwa wawili tu, mapenzi upofu , na unaonekana ushapofoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…