Trapped to a married man

Apart from how unhealthy your relationship is, it will also result into heart aches and pain in the end. That married man might end up abandoning his family in the name of this new relationship, if you are a Christian, the Bible says, "....na alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe"

Usiwe chanzo cha machozi ya huyo mwanamke mwenzio kisa wewe.

Ushauri wangu kwako, distant yourself from him ukiweza hama huo mji na vunja huo uhusiano, its not too late to do that.

Usilopenda kutendewa usimtendee mtu mwingine
 
"kufunga ndoa ya siri" .
Ukielewa hapo kwenye hayo maneno, nadhan utakua ushatatua tatizo.
Yangu ni hayo tyuuuuh
 
Rubbish
 
Amen kama ni pepo linitoke kwakweli
Wewe mwenyeo unataka likutoke ilo pepo kwani?

Kama wewe ni muislam, na mume muislam basi mnaweza kuoana lakini ni wajibu wa mke mwenza kujua na mume awe na ratiba na kutimiza wajibu wake kwa wake zake. Akifanya kiyume basi amemkosea Allah.

Ama kama wewe ni mkristo na mume mkristo kama nntakuwa sijakosea basi uke wenza hauruhusiwi na itakuwa mnaenda kinyume na maandiko yenu ya dini. kwaio apo utakuwa na ilo pepo alokwambia jamaa apo juu, na ili likutoke ni wewe mwenyewe kutaka pepo litoke ama kuliachia likopotoe
 
Huwajui wanaume wewe!

1. Jiandae kuwa single mama
2. Hakuna mwanaume anaweza telekeza familia yake kizembe na hajawahi kuzaliwa kinachotokea in tamaa tu za muda, akishakuzalisha leta mrejsho.
3. Anakuona was maana kwasababu kule bi mkubwa yuko busy na majukumu ya watoto kwahiyo hafiki kwenye level za mapenzi kwa jamaa anazotaka. Ukishazaa utabaki mwenyewe kwasababu utakuwa busy na mtoto
 
Waume za watu hawaaminiki aisee nakwambia from my experience,wewe mchune tu na hyo kufunga ndoa kisiri Ni garasha, be careful ukizaa tu atarudi kwa mumewe. Mume wa mtu wakudanga naye tu
Sikuona, hadi nika kutag daaaah. But umepotea mnooh, had nakumis moaah
 
Sikuona, hadi nika kutag daaaah. But umepotea mnooh, had nakumis moaah
Sio mbaya umenikumbuka best angu, ukiniona sionekani ujue Ni ubusy tu wa kazi mda mwingine sioni hata mada ya kunivutia
 
My dear Niko hapa mda tu mbona mume wa mtu Ni wakuchuna tu na Raha kuweka commitment Ni kujiweka kitanzi shingoni,
Mie nimeshangaa "kufunga ndoa ya siri", bas nkaona kabisa hata huyo mwanaume anajua wazi kuwa wana dangiana tyuuuh.
Hakuna future yeyote ktk mahusiano ya mapenzi yao.
 
Mimi mwenyewe nina mke ila kuna mdada natoka naye nampenda kinyama. Nina mpango wa kumuoa na yeye kakubali. So haya mambo yanatokea na huwezi kuyazuia kwa akili yako labda Mungu tu ndio azuie.
Samahani wewe ni dini gani?
 
Uisilamu ni dini ambayo ipo very updated na asilimia 100% ya watu ktk maisha yao wanagusa ibada za kiislamu...
SINA MAANA KUISIFIA DINI YANGU LAA HASHA.

Ila hilo swala dada yngu ingekuwa inafuata dini ya kiislamu lingepata jawabu jepesi sana...coz ata hyo ndoa isingekuwa ya siri tena...

Wanaume wote tumeumbwa hvyo kupenda wanawake,watoto na mali...
Hakuna duniani mwanaume anae ridhika na mwanamke mmoja never,ndo mana tukapewa options ya wanne.

Ushauri wangu:-
Tatizo sio kukuoa mke wa pili Ila tatizo linakuja Kwenye uadilifu wa kuwahudumia wake wawili hasa baada ya kufunga ndoa...kaa ukijua maisha ya uchumba yanatofautiana Sana na maisha ya ndoa pia yanatofautia zaidi Sana na maisha baada ya kupata watoto.
Mwanamke unapokubali kuongezwa au kuongezewa mke mwenza embu angalia huyo mwanaume akili zake na misimamo yake ikiwemo na Imani yake.

Ndoa ya uke wenza inahitaji mwanaume mwenye akili,Imani na misimamo thabiti sio wa kuyumbisshwa au kupelekeshwa.

Nahitimisha kwa kusema huyu mwanaume si wakumuamini mchunguze vzur kabla hamjafunga hyo ndoa ya SIRI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…