Trapped to a married man

Trapped to a married man

Unasema atakuoa kwa siri.? Ina maana hata familia yako utaifanyia siri juu ya hilo swala?
Kwanini nimesema familia yako, kwasababu siku zote wazazi wetu wanatutakia yaliyo mema kwenye maisha yetu, sidhani kama familia yako itakubali uolewe nae endapo wakijua status ya huyu bwana.......Nachotaka kusema ni kwamba achana na hizo danganya toto za Mume wa mtu!!

Anyway wewe ndio muamuzi wa mwsho katika hili.
Kuna familia za ajabu ndugu.
Wanasapoti hizi ndoa za Siri wao kikubwa binti yao aolewe na inawezekana binti akagharamia mchongo mzima wa harusi.
Nimeshuhudia kwa macho yangu.
Mdada kajigharamia kila kitu cha ndoa, huyu jamaa huwa namuuliza umeoa au umeolewa ananichukia kinyama. Na ndoa walishiriki upande wa mwanamke pekee japo mama wa jamaa alijua ila kuondoa Shari hakutokea eneo la tukio maana jamaa aliacha mke mwingine ndani akaaga anaenda kikazi kumbe anaenda kuoa sijui ndio kuolewa kisiri. Mpaka Sasa yuko ndoani huko alikoolewa, bahati nzuri akaolewa na wanae na ukoo mzima ukahamia kws huyo mwanamke.
Dunia ina mengi hii.
 
Kumbe hutaki stress za kupambana nae, lakini unataka kuingia huko. Unadhani utakwepa stress za kupambana ukiwa na watoto? Think mama, think.

By nature mimi sio mchokozi sioni sababu ya kumchokonoa huyu mama hajanikosea najua akijua itamchanganya
Hata hivyo sijafika conclusion kaka angu am just thinking
Na hivi mmenipa dose ya maneno kuntu toka jana nimewaelewa vizuri sana[emoji3]
 
Ahahaaa...

Mbna unaongea kwa hisia sanaa mkuu.

Wanawake ni starehe kama starehe zengne,kwani kulishawai kutokea bingwa wa kunywa pombee au kuvuta bangi...?

Na sizungumzii wanawake wa kungonoka/kuzini nao tuelewane apo hyo ni haramu......ata uwe busy kiasi gani ktk dunia hii kama kweli kiafya uko vzur swala la hisia kwa wanawake litakujia tuu.

Bado nasimamia msimamo wangu hakuna mwanaume anaesema mimi mke Wang mmoja ananitosha huo ni uongo sema tu tatzo labda kipato au afya...

Hili swala adi mapadri na makasisi limewashindwa achana na wachungaji hao ndo usiseme wanayoyafanya Mungu awasamehe.
Wanaume wa sampuli yako nyuma ya pazia wanafanya mambo ya ajabu sana...

Mwanaume kutamani ni asili yake na kiasili kweli mwanaume ameumbwa kutoridhika . Sijui jinsi unavyotumia imani yako na wala sijui dini yako , wala sijui makuzi yako , mabadiliko wote tunaanza kuyaona wakati wa balee hapo ni mwendo wa kuonja kwenda mbele baadae wengine tukajitambua na kuona hatari ya kuendekeza tamaa za mwili . Kutulia na mke mmoja ni kujiwekea nadhiri tu , tupo sisi ambao tunaona fahari kutulia na mke mmoja , wanawake nje tunawaona wengine wazuri wanatamanisha na siku hizi wanawake ndio wanaongoza kutega wanaume hata andiko limesema Isaya 4:1 “ na siko hiyo wanawake 7 watamshika mtu mume mmoja wakisema , tutakula chakula chetu na kuvaa nguo zetu wenyewe lakini tuitwe tu kwa jina lako utuondolee aibu yetu “ na kwa taarifa yako mimi nina mke na watoto 4 nasumbuliwa na vibinti vinaniona naweza kuvutunza na wapo wadada waliochelewa kuolewa wameshanitokea wakiomba hata niwazalishe angalau apate mtoto na mmoja kaniambia wala nisiwe na hofu yeye anachotaka ni mtoto kutoka kwangu atamlea mwenyewe mm niendelee na ndoa yangu , hawa ni mabinti na wanawake ninao fanya nao kazi maana kazini kwangu tupo wafanyakazi zaidi ya 600 bado wale tuliokuwa wote bado wadada tunaokaa mtaa mmoja , ndio nakwambia kwa limbukeni utajiona mjanja sie wengine ujinga huo hatutaki tunajua madhara yake nataka kujiwekea rekodi yangu nzuri naendeleza rekodi niliyoina kwa wazee wangu walijitunza wakatunza mama zetu , michepuko ilikuwepo lakini walishinda na wapo wanaume wengi tu kama
Wewe mlioamua kuendekeza tamaa za mwili , hudhuriq ibada za kipentekosti utanielewa nachosema hao unaosema wachungaji mashee wanaharibu ni wao pia na kuelemewa na tamaa zao kufanya kosa hakuhalalishi kosa.
 
Mwanamume umeamua kuongea. Mungu na aitunze ndoa yako.
 
Mkuu, umeongea ukweli kabisa. Pamoja na tamaa zetu wanaume lakini wadada wamekuwa ni warahisi sana, sana kupita maelezo. Kuishinda tamaa ya uzinzi kunahitaji kujitoa, sio kitu rahisi lakini ukijiwekea nadhiri, ukiangalia familia yako unaona ya nini nitese wanangu kwa tamaa za kupita.

Siku hizi tunatongozwa, hatujisifu ilà wanakuja wenyewe, wanajilengesha wenyewe, hadi unaulizwa hivi wewe ni mwanaume kweli, huoni kama nakupenda, naelewa una familia lakini nitaiheshimu familia yako, nakuhitaji wewe tu! Unabaki 'hihihiiiii', unampotezea hadi aelewe. Sitaki kusema sana maana watu hawachelewi kusema tunajisifu ilà tunatongozwa sana kipindi hiki, it's sad!!!
 
Kuna familia za ajabu ndugu.
Wanasapoti hizi ndoa za Siri wao kikubwa binti yao aolewe na inawezekana binti akagharamia mchongo mzima wa harusi.
Nimeshuhudia kwa macho yangu.
Mdada kajigharamia kila kitu cha ndoa, huyu jamaa huwa namuuliza umeoa au umeolewa ananichukia kinyama. Na ndoa walishiriki upande wa mwanamke pekee japo mama wa jamaa alijua ila kuondoa Shari hakutokea eneo la tukio maana jamaa aliacha mke mwingine ndani akaaga anaenda kikazi kumbe anaenda kuoa sijui ndio kuolewa kisiri. Mpaka Sasa yuko ndoani huko alikoolewa, bahati nzuri akaolewa na wanae na ukoo mzima ukahamia kws huyo mwanamke.
Dunia ina mengi hii.
Aisee basi tuna safari ndefu huko tuendako.!
 
Mkuu, umeongea ukweli kabisa. Pamoja na tamaa zetu wanaume lakini wadada wamekuwa ni warahisi sana, sana kupita maelezo. Kuishinda tamaa ya uzinzi kunahitaji kujitoa, sio kitu rahisi lakini ukijiwekea nadhiri, ukiangalia familia yako unaona ya nini nitese wanangu kwa tamaa za kupita.

Siku hizi tunatongozwa, hatujisifu ilà wanakuja wenyewe, wanajilengesha wenyewe, hadi unaulizwa hivi wewe ni mwanaume kweli, huoni kama nakupenda, naelewa una familia lakini nitaiheshimu familia yako, nakuhitaji wewe tu! Unabaki 'hihihiiiii', unampotezea hadi aelewe. Sitaki kusema sana maana watu hawachelewi kusema tunajisifu ilà tunatongozwa sana kipindi hiki, it's sad!!!
Eli wewe ni mmoja kati ya wanaume waelewa jf.
Ufike wakati tuwaelewe wenzetu kuwa nao wanahisia, zamani mila ziliwatesa lakini tangu mwanzo wanawake wanatani wanaume na walikuwa wakiwatongoza.
Rejea historia ya Yusufu wa Yakobo akiwa ameuzwa Missri...alibakwa akskimbia.
Mimi huwa sioni ajabu kutongozwa, nachukulia kawaida sana.
Lakini si kila anitongozaye nimkubalie hapana na sikumbuki kama nimewahi kumla demu aliyenitongoza lkn haya mambo nakutana nayo sana tu na huwajibu kwa heshima kabisa.
 
Maamuzi yako ni yako kwa ajili ya furaha yako.
Nakushangaa kama utashikiwa akili na watu .
Masuala ya mahusiano ni magumu.
Wengi wako kwenye ndoa lakini wanateseka japo anajiona ni mmiliki peke yake.
Ikiwa umeamua kuolewa mke wa pili na umeridhia toka ndani na unatambua wazi mko wawili shida iko wapi?
Mimi ni Mkristo, kuoa mke mmoja tunafungwa na sheria na tunasababishwa kuwa waongo kwa kuchepuka.
Washirika wanachepuka
Wachungaji wanachepuka
Maaskofu wanachepuka.

Nakuelewa sana
Na maneno ya watu si sheria
I have seen married people wanaishi kwa mateso sana kisa ndoa
Mtu anakufa hajawahi kujua furaha ya Maisha ni nini
Life will never be fair,haijawahi na haitotokea
Life has no formula
Hapa naona wengi wananiambia kutakuwa na bad ending
But I have seen good endings with the same situation ambayo wachache wameigusia
Sishangai hizi response hii ndio jamii na haya ndio mawazo yao
 
@amu wee huwezi?! Teh

Wenzio siku hizo ni mwendo wa 4 na kuendelea. Hata akiomba kumi kumi kwa kila mmoja, kufumba na kufumbua muamala unasoma 40k

Halafu wenyewe hawasikii maumivu kivile coz bidada anakuwa hana mizinga mikubwa
Kuwa na wanaume wawili mpaka kutangaza ndoa ni mahusiano serious aiseee.

Ni swala la hisia.

Ndo maana nikasema ni kipaji kuwa nao maana anajua kuzicontrol hisia zake.

Mimi hicho kipaji sina.

Nikikupenda utajua na kutakuwa hakuna nafasi kwa mwingine, na nisipokupenda utajua tu.
 
Nakuelewa sana
Na maneno ya watu si sheria
I have seen married people wanaishi kwa mateso sana kisa ndoa
Mtu anakufa hajawahi kujua furaha ya Maisha ni nini
Life will never be fair,haijawahi na haitotokea
Life has no formula
Hapa naona wengi wananiambia kutakuwa na bad ending
But I have seen good endings with the same situation ambayo wachache wameigusia
Sishangai hizi response hii ndio jamii na haya ndio mawazo yao
Mami si tulishakubakiana uolewe na single huyo mume wa mtu awe mchepuko au?
 
Unasubiria nini sasa, ongea hayo mashudu tukuwashir moto hadi ujute..... [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee unachekesha San lol, eti uniwashie moto nyuma ya keyboard?
Unaweza ukajitutumua kutoa ushauri, afu mwenzake maamuzi yake yakawa tofauti.
Relaaaaaaaax Mr.
 
Mkuu, uzi kama huu lazima uteke hisia za watu coz unagusa the inner part of our hearts so usishangae sana.

Watu wanawaza future yako na huyo jamaa, wanarudi kuwaza kuhusu huyo mke mkubwa, wapo watoto katikati hapo so it must be a complicated case. Sio kwamba watu ni watakatifu, no ilà hii mada ina uzito coz inagusa maisha ya watu.

Hapa wewe unaweza kulichukulia lightly, lakini kuna watoto wanaweza kutelekezwa in the name of love, kuna mama anaweza kuishi kwa frustration hadi kufa kwa sonona kisa maamuzi utakayofanya.

Mimi namuona huyo jamaa mkosefu sana, anamkosea mkewe lakini anaiharibu nyumba yake, you've come in the middle of everything but he deserves the blame, angetulizana ungebaki na kijana huyo maisha yakaenda, but he didn't.

He's a successful man kutokana na maelezo yako, mind you his wife has a hand in it. Hakufanikiwa tu hivi hivi, leo kapata anaona ni heri aoe kwa siri, WTF is he thinking? Sasa wewe ndio muonyeshe kuwa anachofanya sio sahihi, he should go back to his beautiful wife alee vijana wake, wewe rudi kwa huyo kijana muanze maisha yenu. In the end hata wewe utakuwa proud na mafanikio yako na mumeo, sio hiyo "readymade" uliyoikuta hapo. Watu wanaanza mbali jamani, oneni tu majumba, magari et al, watu wameanzia chini mno. Why usiwe sehemu ya historia ya familia yako?

BTW, ungejaribu kumtafuta huyo bi'mama akupe ABC za jamaa, huenda you don't know him that much. That's my two cents!!
Brod darling, mimi nakupenda sana.
 
Kwa Wakristu ndoa ni moja tu na huwa ya wazi. Upendo haufichiki, upendo hauhitaji kufanywa siri... Ukiona hivyo ujue hakuna upendo hapo, anakudanganya tu.

And mind you, ndoa siyo yale makaratasi bali ni muunganiko halali mbele ya Mungu na watu wa mwanaume mmoja na mwanamke mmoja kuishi kama mume na mke.

Mwisho wa siku akishapata anachokitafuta kwako (yeye pekee ndiyo anakijua) atarudi kwa mke wake. Usikubali kutumika. Endelea na huyo kaka ambaye siyo mume wa mtu, mfanye mume wako halali.

Achana na hizo tamaa nyingine.
Ushauri muruaah
 
Mkuu, uzi kama huu lazima uteke hisia za watu coz unagusa the inner part of our hearts so usishangae sana.

Watu wanawaza future yako na huyo jamaa, wanarudi kuwaza kuhusu huyo mke mkubwa, wapo watoto katikati hapo so it must be a complicated case. Sio kwamba watu ni watakatifu, no ilà hii mada ina uzito coz inagusa maisha ya watu.

Hapa wewe unaweza kulichukulia lightly, lakini kuna watoto wanaweza kutelekezwa in the name of love, kuna mama anaweza kuishi kwa frustration hadi kufa kwa sonona kisa maamuzi utakayofanya.

Mimi namuona huyo jamaa mkosefu sana, anamkosea mkewe lakini anaiharibu nyumba yake, you've come in the middle of everything but he deserves the blame, angetulizana ungebaki na kijana huyo maisha yakaenda, but he didn't.

He's a successful man kutokana na maelezo yako, mind you his wife has a hand in it. Hakufanikiwa tu hivi hivi, leo kapata anaona ni heri aoe kwa siri, WTF is he thinking? Sasa wewe ndio muonyeshe kuwa anachofanya sio sahihi, he should go back to his beautiful wife alee vijana wake, wewe rudi kwa huyo kijana muanze maisha yenu. In the end hata wewe utakuwa proud na mafanikio yako na mumeo, sio hiyo "readymade" uliyoikuta hapo. Watu wanaanza mbali jamani, oneni tu majumba, magari et al, watu wameanzia chini mno. Why usiwe sehemu ya historia ya familia yako?

BTW, ungejaribu kumtafuta huyo bi'mama akupe ABC za jamaa, huenda you don't know him that much. That's my two cents!!
Family friend leo nakupa offer tukatembee.
Si kwa madini haya.
 
Hiii comment bora ya uzi kabisaaah.
 
Back
Top Bottom