“Trauma ya Maisha: Nilimkuta Dada Yangu Akiinamishwa na Msela, Mpaka leo sitaki kwenda kwake

Duu!pole sana
 
Mi pia namuunga mkono mtoa mada hua sitaki ata nimjue mpenzi. Wake na sister kabla hawajaoana kwa sababu Kuna kitu nafeel tofauti na uhalisia hata kama mi pia nawainamisha masister wa wengine.
Jamani wakaka mna wivu nyie na dada zenu?why
 
Hiyo si ni style mojawapo tu, kinachokuuma kitu gani wakati dada yako aliipenda?

So, ulitaka dadako afe na bikra yake? Hebu acha utoto sahau hicho kichekesho.

Then uache kuingia nyumba za watu bila hodi.
 
Aisee
 
Angalau wewe umemshauri kitu. Sio wengine wanakashfu. Mungu amsaidie na kumponya aweze kutoa hiyo picha iliyobakia kichwani mwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…