“Trauma ya Maisha: Nilimkuta Dada Yangu Akiinamishwa na Msela, Mpaka leo sitaki kwenda kwake

Unawaza kidhaifu sana mkuu.

Badala ya kushukuru dadako yuko fit, wee unamuonea kinyaa!

Ulitarajia nini dadako akijiingiza kwenye mahusiano pamwe ndoa?
Shemeji yako akimlea, dada'ko si atamkimbia na kumdhihaki juu?

Unavyowakunja dada za watu, ndivyo na dadako anakunjwa ama na zaidi sana kabisa.

Wacha kuisahihisha nature.
 
Shindikanaa😃
Hapana mamaa, n kwamba jamaa amemkuta Dada ake kwa wakati usio sahihi mana hayo yanafanywa na kila mtu sirini na n jambo jema ila ikija kuonekana hadharani ndio inaonekana n jambo baya.
 
Hapana mamaa, n kwamba jamaa amemkuta Dada ake kwa wakati usio sahihi mana hayo yanafanywa na kila mtu sirini na n jambo jema ila ikija kuonekana hadharani ndio inaonekana n jambo baya.
Sio jambo jema, vya sirini vibaki sirini!
 
alikuwa anatumia mali yake binafsi kwanini unachukia?
 
Leta story nzima jinsi ilivyokuwa na uliwakuta sehemu gani na ulikuwa unaenda kufanya nini na ulichukua hatua gani? Na kipindi hicho dada ako alikuwa na umri gani?
 
Ulimwomba msamaha dada yako kwa kuingilia faragha yao?!.
 
Msela alimgonga kwenye Maua itakua, pole sana kwa kumkuta dada yako kapigishwa magoti anaililia
 
Aisee pole inaonekana kila ukitamani kwenda kwake ile picha ya shemeji akiwa anasukuma trak* inakujia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…